Amesema Gilbert ndiye amemuua Thadei kwa kumlisha sumuAmesemaje huko Wasafi?
Amesema Gilbert ndiye amemuua Thadei kwa kumlisha sumu
Gilbert A Massawe au?Daaaaa.....Gilbert amemuua Ole?
Kasoma sheria UDSM. Wewe kwa uandishi huu vipi elimu yako!Habari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza kuongea kwenye Clouds redio ya watu.
Wezi wauawe tuSiasa nyingi sana jeshi la Polisi,kuna wezi watatu waliuawa na wananchi baada ya kuiba boda boda juzi muda wa 11 alfajiri pale Tazara karibu kabisa na kituo cha Polisi Tazara huku Polisi wakishuhudia lakini baadae ikaja taarifa kuwa wameuawa Pugu na si Tazara.
Kasoma sheria gani bila kwenda shule ya sheria. Kama hakupitia hatua hiyo ni sawa tu na mtu yeyote aliyesomea business administration nk. hata vyeti tu vya kawaida wanavyosomea wakitoka huko eti wanasheria!!!!Kasoma sheria UDSM. Wewe kwa uandishi huu vipi elimu yako!
Hii nchi ndugu yangu inahitaji dikteta kamili na sio dikteta uchwara,polisi wengi wanashiriki vitendo vya kihalifu na ndio kazi yao.Lkn ipo siku MUNGU atakomboa Taifa hili dhidi ya uonevu.Habari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza kuongea kwenye Clouds redio ya watu.
Watu wamepotea jamaa analeta siasa kama vile hayamhusu na ndugu watajijua.Ata kama waliopotea ni wahalifu polisi wana jukumu kujua wapi wapi!
Mimi nina imani raia wa Tanzania hawawezi kufanya uhalifu bila kushirikiana na mapolisi ndo maana Magufuli alipoingia madarakani alilijua Hilo na akawatishia akina Muliro kuwa endapo uhalifu ungetokea kwenye maeneo yao angewatumbua ndipo unambuzi ukaisha. Polisi Sasa hivi wanafanya wanavyotaka hakuna wa kumuogopa.
Habari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza kuongea kwenye Clouds redio ya watu.
Watu wamepotea jamaa analeta siasa kama vile hayamhusu na ndugu watajijua.Ata kama waliopotea ni wahalifu polisi wana jukumu kujua wapi wapi!
Mimi nina imani raia wa Tanzania hawawezi kufanya uhalifu bila kushirikiana na mapolisi ndo maana Magufuli alipoingia madarakani alilijua Hilo na akawatishia akina Muliro kuwa endapo uhalifu ungetokea kwenye maeneo yao angewatumbua ndipo unambuzi ukaisha. Polisi Sasa hivi wanafanya wanavyotaka hakuna wa kumuogopa.
Kwa nini usilete content husika kwa alichosema, ulicholeta umeminya haki ya habari pia haki ya kuchangia na kutoa maoniHabari wadau.leo nimemsikiliza kama wa dar hakika sijamuelelewa na kama tungekuwa na uongozi makini alipaswa kutenguliwa mala moja. Sijuhi elimu yake lakini ni aibuuu ni bora asingejitokeza kuongea kwenye Clouds redio ya watu.