Ni maeneo yote ya vijijini hali iko ivyo tena hawa trafic ni vinara Wa rushwa kuna siku nilishuhudia trafic akipokea rushwa sikuwa tu na camera hii tabia ya madereva kuwafata ma trafic ndio inazaa rushwa sana watu Wa usalama barabarani tafuteni mbinu ya kuzuia hawa madereva kutowafata ma trafic huwa nashindwa kuwaelewa badala ya kuja kukagua gari trafic anakaa mbali anasubiri aletewe pesa hii tabia inaboa sana na nyie wahusika mnalijua INA maana mmekosa mbinu kabisa ya kuzuia huu mchezo? Km mmeshindwa kazi acheni kazi