Kwa ufupi wana wanavamia watu wengi sana huko masaki msasani na mjini.
Na kuna post kibao za hawa watu katika facebook group.
Wa TX wamekuwa wakitahadharisha wenzao kuhusu hawa jamaa.
Watapo kuwekea mzigo ndani ya gari ukikataa watakuachia nao!.
Sasa jee unajua wameweka mini humo ndani? Atakupaje suit bure?
Ukiingia mtegoni unaweza ukanasa na madawa ya kulevya na kuja kukumatisha.
Kule kwenye facebook watu wamewapiga picha kutahadharisha wenzao.
Sasa hapa na sisi tunatahadharisha waTZ .
Kuna watu mijinga ikipewa warning basi huanza kejeli yaani wa ajabu kabisa.
Kwa ufupi huu ni mtandao mkubwa sana unaopaswa kuitwa mafia.
Wanauza mashati
Suit
Suruali
Vyombo vya umeme
Electrinics
Nguo.nk.
Sasa mtu ana wonder hii container wameificha wapi.
Mtindo huu ukiendelea utaua biashara halali na unaweza kuangusha biashara ya reja reja na wholesale.
Pia wanauza vitu fake na wamebandika majina makubwa kama Hitach Sony
Armani nk
Unaweza kusearch italian suit scam utaina jinsi gani walivo kuwa ma mtandao mkubwa.
Usa walikamaatwa wengi wakakimbia .wenzetu wama public camera sehemu nyingi.
Hakuna cha mwanamke wala wivu.
Kuhusu wachina na wajibu wa kila mtu ku expose uharamia wanao fanya sio kulalamika tu.
Ingawa suala lao zaid ni political deal ya kimya kimya