Hivi unajua maana ya MAFIA!!!? mtu amekuja kukuzia suti ya dola 30 we ukanunua kwa dola 500 huyo ni MAFIA? hiyo inaitwa ''BUYER BE WARE'', huyo sio Mafia ni mfanyabiashara kama biashara zingine, toka lini mtu akalazimishwa kununua kitu. We utakuwa na mambo yako binafsi na mmliki wa hilo gari.
Hawa jamaa huwa wana mbinu nyingi. Wanaweza wakakudanya kuwa eti walikuwa kwenye maonyesho ya mavazi na wamebakiwa na jacket au suti mbili na wako njiani kwenda airport (kurudi kwao) hivyo wanauza zile nguo ''zilizobaki kwa bei ya kutupwa'' kwani wakienda nazo itapidi walipie kodi airport. Sasa kuna ujanja mmoja wa kuwakomoa ambao wasela walikuwa wanatumia Ulaya. Walikuwa wanajifanya wamezipapatikia sana sana zile nguo lakini pale walipo hawana fedha za kununulia kwani wallet wameiacha nyumbani. Hivyo basi wanamwomba jamaa ''kama anaweza kuwasogeza mpaka nyumbani''. Jamaa anakuendesha mpaka nyumbani unaingia zako ndani kimoja. Umepanda tax ya bure!Kamamda Kova tunajua umafatilia Jamii forum .
Jiji lako limevamiwa na wezi na matapeli kutoka Italy wako wengi kwa uchache nimewashuhudia kama 6 katika gari tatu aina ya RAv 4 tofauti wakizunguka jijini moja ya gari hizo ina namba T 303 CBM.
Hawa wezi waki mafia kutoka Italy wana uza mali feki ikiwamo suit za china wana jidai ni za Italy na huwa ukisimama tu wanakufata na kuingiza suit au poti ndani ya gari yako na kuanza kuku ngania umlipe.
Ni vinganganizi sana.
Hawa wataliano ni mtandao mkubwa wamekua wakifanya hivi nchi nyingi na hutumia gari za kukodi na baada ya kutapeli huondoka hotel wanazokaa na kuacha deni.
Wametapeli sana Canada USA Uae Qatar UK nk
Kamanda kova tuma vijana wako mitaani hasa maeneo ya masaki na msasani wamejaa na wanavamia sana ma TX na wenye magari.
Tafadhali chukua hatua kabla watanzania hawajalizwa na mafia hawakwanza n8 kuifatilia gari hio ilotajwa hapo juu na kuukamata mtandao wao wa kuuza suit ya $30 kwa $500
Hivi unajua maana ya
MAFIA!!!? mtu amekuja kukuzia suti ya dola 30 we ukanunua kwa dola 500
huyo ni MAFIA? hiyo inaitwa ''BUYER BE WARE'', huyo sio Mafia ni
mfanyabiashara kama biashara zingine, toka lini mtu akalazimishwa
kununua kitu. We utakuwa na mambo yako binafsi na mmliki wa hilo
gari.