Kamanda kileo mahakamani tabora

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393

sasa jamani hao jamaa wengine sijui ndo wale tulioambiwa juzi maana kama naona evil smiles zao..... kama ludovick na yeye anavyojifanyaga kuonyesha ishara ya victory

: Mungu atakujalia Henry utashinda tuuuuu
 
View attachment 99417View attachment 99418

sasa jamani hao jamaa wengine sijui ndo wale tulioambiwa juzi maana jilo smile lao?????? kama ludovick na yeye anavyojifanyaga kuonyesha ishara ya victory

: Mungu atakujalia Henry utashinda tuuuuu

Smile ni symbol ya matumaini, hakuna njia nyingine hapo zaidi ya ku-smile kwani hata ukikunja uso bado upo nguvuni na sana sana utasababisha ngozi ya uso kukunjamana wakati mahakama bado haijakutia kenye hatia
 
time will tell ....nina wasiwasi na hao vijana wengine
 
Daa!! Kuna Watu Wana Roho Ngumu Sana,Hii Kubambikiza Kesi Inamwisho Wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…