Waalimu wakuu wa shule za misingi wanahusika sana kwenye ulaji wa pesa za MMEM.hili ninalifahamu fika
Virusi vya poverty vikivamia ubongo basi tena! Hao watoto hapo wana wazazi, kuna serikali ya kijiji, kuna walimu, na hata watoto wenyewe, kama ni matofari... udongo ule pale, kuni za kuyachoma zipo, hapo ni akili tu ndio haina akili
yes!!mkuu; kama sikosei unamaanisha kuwa tatizo kubwa tulilonalo wakati mwingine ni akili na mitazamo yetu. Attitude.
Kwa maana hiyo tunaweza kusema kunatakiwa mapambano ya kifikra vile vile.
Geoff hapo hujatoa mfano halisi. Tuletee huo mfano halisi.....
Naomba nihakikishiwe ULINZI!Geoff hapo hujatoa mfano halisi. Tuletee huo mfano halisi.....
unajua hizi fedha za MMEM zilitolewa mara tu baada ya kuanzisha mradi huo huo wa MMEM!
MAPUNGUFU-ni kwamba wizara ya elimu(labda kwa shinikizo la wahisani) iliamua kudelegate mamlaka na zile fedha kwenye ngazi ya shule,which means mkuu wa shule ndiye alikuwa na uwezo wa kuzi-allocate zile pesa eidha kwenye ujenzi wa madarasa,au ununuzi wa madawati.
SWALI-ni kwanini wahisani waliweka hiyo condition ya kuwapa wakuu wa shule mamlaka na zile fedha?(..tutalijadili..)
UBINAFSI-imeonekana ni ugonjwa sugu wa watanzania wengi.walimu wa shule za misingi (hasa vijijini) waliziallocate zile fedha MATUMBONI MWAO!..kibaya ni kwamba hatua kubwa zilizochukuliwa baada ya ubadhilifu huo ilikuwa ni kuwahamisha vituo vyao vya kazi........!
mfano halisi:ninawafahamu walimu waliiojenga nyumba zao kutokana na pesa za MMEM
NITAENDELEA............
Plan (PEDP) popularly known as Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) 2002-2004 was a massive support to boost primary school education in Tanzania. it aimed at enhancing the both quality and quantity (structures to increase enrolment and enhance quality as well).BUT IN SOME PLACES OF THE COUNTRY - PEDP only came to pass!!
Photographed are the pupils of Juhudi Primary School in Kigoma Rural – district in Kigoma region- Tanzania in the 'modern and enhanced' learning environment as a result of MMEM!!!!! God forbid!
Rev. Emmanuel Bwatta of Anglican Church who took the fotoz, August this year (2009) reported that teachers at Juhudi primary school were reluctant to allow him to take the fotoz!! what do you think was the reason for their reluctancy??
Photos: Kind courtesy from Rev. Emmanuel Bwatta
Source: http://upolesana.blogspot.com/