Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 704
Aina za wanaume ambao mabinti
wengi hujikuta wakinaswa nao...Zijue
faida zao na hasara zao pia
1. MR. THUG LIFE
Faida zake
a. Hukufurahisha na ya kukusisimua
b. Hufanya ucheke
c. Anakua pembeni yako kwa kila jambo na
atakupigania na kukulinda
Hasara
a. Mara nyingi wanatabia za kunywa
pombe na kuvuta sana sigara
b. Kila mra hakosi drama za kukushangaza
c. Atakuwa katika hali hiyo ya ukorofi milele
d. Kushikwa na kuwekwa jela ni kawaida
yao kutokana na drama zao
2. MR. KWA SASA SINA MSICHANA
Faida zake
a. Atakuchukua na kukutoa out kila mara
b. Atakutambulisha kwa marafiki zake wote
c. Atakuwa ni mtu wa kukupa pongezi
wakati wote
Hasara
a. Anamchumba ambaye wako naye kwa
muda mrefu
b. Hawezi kukuambia kuwa ana mchumba
c. Baada ya kuteka moyo wako nawe
umedata ndio atakuambia kuwa ana
mpenzi
3. MR. MAARUFU
Faida zake
a. Atakupa fedha nyingi na hakuna
kukulizwa maswali
b. Ana style nyingi za jinsi anavyoendesha
maisha yake
c. Atakuonyesha baadhi ya mambo mazuri
katika maisha yako
Hasara
a. Kamwe usije jaribu kuishika simu yake
b. Anamaamuzi ya kutokukushirikisha,
anaweza kuja nyumbani kwako wakati
wowote bila kutoa taarifa
c. Anapenda kuwa karibu na marafiki zake
zaidi kuliko wewe.
4. MR. MISHEMISHE A.K.A JEMBE
Faida zake
a. Anaweza kukupa mialiko wewe na
marafikio zako katika minuso mbalimbali na
kumbi nyingi za
b. Unaweza kuwa na heshima na kila
uongeacho na kuchochea mazungumzo pia
c. Anavaaa nguo za gharama
Hasara
a. Huwezi kujua kama yeye ni shoga au lah
kwani hana kazi, muda wote yupo kwake
na huoni dalili za kuhangaika lakini ana
maisha mema na pombe kila siku
b. Hujifanya anakuwa mkali ukijaribu
kumwelezea juu ya mpango wa mahusiano
yenu kwenda mbele
c. Ukiwa bado kwenye mstari wa kupata
tiketi uingie kwenye pati, au mnuso
unaweza kushuhudia drama pale mlangoni
na kisha mkaruhusiwa kuingia
d. Ana rundo la picha za yeye na celebrities
kibao lakini hawajuani na mmpoja kati ya
hao mastaa
5. MR. MSOMI
Faida zake
a. Muda wote yupo smart
b. Anakujali na kuhakikisha unajisikia
vyema
c.Ana kazi nzuri sana
hasara
a. Mambo yake yanaboa sana kwani muda
mwingi anahangaika na mambo ya kazi
b. Hata kwa bed ni mvivu sana kwana
anakuwas kachoka na majukumu
c. Hayuko smart sana na mambo ya mtaani
kama kukutoa out kwani anakuwa busy
d. Daima ni mtu wa kukuliza lini tutaonana
tena
6. MR. GETO
Faida zake
a. Hukufanya ucheke
b. Anavutia kuwa naye karibu
c. Ana hasira za haraka, lakini kwa ujumla
ni mtu poa
d. Atasema yeye anataka uhusiano wa kweli
Hasara
a. Ana watoto 3 au zaidi kwa mama tofauti
b. Anataka kukutumia apate chakula, fedha
za matumizi na sio upendo
c. Na kila ukimwambia ukweli juu ya
mambo yake anakataa au kuwa mkali
d. Kama ukikaa naer anaweza rudi hata saa
tisa usiku na kujitetea alikuwa na marafiki
7. MR. RASTA
Faida zake
a. Atakufundisha mambo mengi ya upendo
na amani
b. Yeye ni mwanaharakati au
mwanamapinduzi
c. Atakupa maneno na falsafa zenye kukupa
msukumo wa amani na ni maneno ya
kihalisa yenye hisia
d. Anataka mke na familia
Hasara
a. Atakupiga chini akipata binti wa kizungu
b. Ana hela za kufanyia starehe ila hana
kazi maalumu
c. Haimiliki suti nzuri, siku zote amevaa
kombati au jinsi na kutokwa na jasho
d. Mwishoni utagundua kuwa alikuwa
anakuigizia
8. MR. FUTURE
Faida zake
a. Atakutambulisha kwa mama yake
b. Ana kazi na atakuwa mtu wa kujirusha
na wewe
c. Atakupa fedha za mahitaji yako kama
unahitaji
d. Wakati mwingine huenda kanisani
Jumapili
Hasara
a. Wakati mwingine naye anataka kuwa
mtu wa kuishi free
b. Ni mtu wa kuvaa mikufu na saa fake
c. Kuna wakati yeye yuko busy na kufuatilia
michezo aipendayo na kukusahau wewe
kama upo
d. Baada ya kuachana ndio utagundua
alikuwa ana mabinti kibao.
9. MR. KICHECHE
Faida zake
a. Atakuambia ukweli - kwamba wewe sio
mmoja tu kwake
b. Yeye atakwambia kwamba
umembadilisha na yuko tayari kutulia na
wewe
c. Anakaa kwake ana usafiri na atakuomba
uhamie pale make wote
Hasara
a. Hawezi kukutambulisha kuwa wewe ni
mpenzi wake mkiwa sehemu hasa akiona
kuna wanawake
b. Kwa ujumla yeye ni mzushi wa kila
afanyacho
c. Anatarajia wewe kuamini uongo wake
wote kwa sababu tu alikuambia ukweli
kuhusu wanawake wengine alipkuwa nao
d. Baada ya kumdaka uongo wake atajitetea
alishakuambia kuwa alikuwa kicheche
10. MR.NINA KAZI NZURI
Faida zake
a. Bila shaka ana kazi
b. Hana tabia nyingi mbaya sana
c.Atachukua wajibu wa kukuhudumia
wewe wakati wewe ni mgonjwa
d. Atakwambia kwamba yeye ana upendo
wa dhati na wewe
Hasara
a. Utadumu naye katika uhusiano wa miaka
2 au zaidi na kisha unakuja kugundua ni
mvivu, mpuuzi na bedui ambaye anataka
wewe kufanya kazi zote za mke lakini si
kukupa pete.
b. Atamaliza kwa kukuambia anakupenda
ila wewe sio chaguo lake
c. Baada ya kukuacha miezi mitatu baadae
anafunga ndoa
11. MR. RAFIKI WA UHAKIKA
Faida zake
a. Yeye ni rafiki yako bora, uamweleza kila
kitu kinachokusibu na mnakwenda pamoja
vizuri sana
b. Anatoa ushauri kwa wakati unapopatwa
na matatizo
c. Ni mwanaume wa kweli
d. mwelewa na anakujali na ni mcheshi wa
kupindukia
Hasara
a. Manishia kujirusha na mwishowe
unakuja kugundua hana lolote yeye
anataka sex basi.
b. Hapo unahitaji kupata mpenzi mpya
kwani yeye hana mpango wa maisha na
wewe
12. MR. MWANAUME SAHIHI
Faida zake
a. Yeye anampenda Mungu na anachukua
uhusiano wake na Mungu kwa umakini
b. Yeye ni mwelewa, ana kipaji na uwezo
wa kukuchukua wewe kiakili na kihisia
c. Naye atakupenda hata wakati wewe
haupendeki
d. Yeye ana ujuzi wa kufanya kazi kwa
ustadi na anapendwa !
e. Anakubali makosa yake na inajitahidi
kuwa mtu bora
f. Anaelewa uhusiano unajengwa kwa
200% . Yeye100% na wewe 100%
g. Yeye hana kundi la watoto wa mama,
yeye ni nadhifu zaidi na anakitambua.
h. Yeye ni rafiki wa bora wa kweli na kila
kitu unachotaka kwa mwanaume yeye
anacho
i. Alikuwa mzuri ulivyokutana naye ila
baada ya kukaa naye unagundua anazidi
kuwa nadhifi zaidi
j. Anaweza kupangilia mavazi - anajua
tofauti kati ya mavazi rasmi , ya kawaida, ya
kitaaluma, ya biashara
h. Yeye anampenda mama yake na
kuheshimu wanawake
Hasara
a. Hujawahi kutana naye na kama yupo basi
ana mke au mchumba .
b. Yeye hataki uhusiano wowote kwa sasa
c. Umeshamsikia sana mtu wa aina hii lakini
kamwe hujakutana naye na lazaidi
umeshakutana na aina hizo hapo juu za
wanaume na wakakuchezea vilivyo
wengi hujikuta wakinaswa nao...Zijue
faida zao na hasara zao pia
1. MR. THUG LIFE
Faida zake
a. Hukufurahisha na ya kukusisimua
b. Hufanya ucheke
c. Anakua pembeni yako kwa kila jambo na
atakupigania na kukulinda
Hasara
a. Mara nyingi wanatabia za kunywa
pombe na kuvuta sana sigara
b. Kila mra hakosi drama za kukushangaza
c. Atakuwa katika hali hiyo ya ukorofi milele
d. Kushikwa na kuwekwa jela ni kawaida
yao kutokana na drama zao
2. MR. KWA SASA SINA MSICHANA
Faida zake
a. Atakuchukua na kukutoa out kila mara
b. Atakutambulisha kwa marafiki zake wote
c. Atakuwa ni mtu wa kukupa pongezi
wakati wote
Hasara
a. Anamchumba ambaye wako naye kwa
muda mrefu
b. Hawezi kukuambia kuwa ana mchumba
c. Baada ya kuteka moyo wako nawe
umedata ndio atakuambia kuwa ana
mpenzi
3. MR. MAARUFU
Faida zake
a. Atakupa fedha nyingi na hakuna
kukulizwa maswali
b. Ana style nyingi za jinsi anavyoendesha
maisha yake
c. Atakuonyesha baadhi ya mambo mazuri
katika maisha yako
Hasara
a. Kamwe usije jaribu kuishika simu yake
b. Anamaamuzi ya kutokukushirikisha,
anaweza kuja nyumbani kwako wakati
wowote bila kutoa taarifa
c. Anapenda kuwa karibu na marafiki zake
zaidi kuliko wewe.
4. MR. MISHEMISHE A.K.A JEMBE
Faida zake
a. Anaweza kukupa mialiko wewe na
marafikio zako katika minuso mbalimbali na
kumbi nyingi za
b. Unaweza kuwa na heshima na kila
uongeacho na kuchochea mazungumzo pia
c. Anavaaa nguo za gharama
Hasara
a. Huwezi kujua kama yeye ni shoga au lah
kwani hana kazi, muda wote yupo kwake
na huoni dalili za kuhangaika lakini ana
maisha mema na pombe kila siku
b. Hujifanya anakuwa mkali ukijaribu
kumwelezea juu ya mpango wa mahusiano
yenu kwenda mbele
c. Ukiwa bado kwenye mstari wa kupata
tiketi uingie kwenye pati, au mnuso
unaweza kushuhudia drama pale mlangoni
na kisha mkaruhusiwa kuingia
d. Ana rundo la picha za yeye na celebrities
kibao lakini hawajuani na mmpoja kati ya
hao mastaa
5. MR. MSOMI
Faida zake
a. Muda wote yupo smart
b. Anakujali na kuhakikisha unajisikia
vyema
c.Ana kazi nzuri sana
hasara
a. Mambo yake yanaboa sana kwani muda
mwingi anahangaika na mambo ya kazi
b. Hata kwa bed ni mvivu sana kwana
anakuwas kachoka na majukumu
c. Hayuko smart sana na mambo ya mtaani
kama kukutoa out kwani anakuwa busy
d. Daima ni mtu wa kukuliza lini tutaonana
tena
6. MR. GETO
Faida zake
a. Hukufanya ucheke
b. Anavutia kuwa naye karibu
c. Ana hasira za haraka, lakini kwa ujumla
ni mtu poa
d. Atasema yeye anataka uhusiano wa kweli
Hasara
a. Ana watoto 3 au zaidi kwa mama tofauti
b. Anataka kukutumia apate chakula, fedha
za matumizi na sio upendo
c. Na kila ukimwambia ukweli juu ya
mambo yake anakataa au kuwa mkali
d. Kama ukikaa naer anaweza rudi hata saa
tisa usiku na kujitetea alikuwa na marafiki
7. MR. RASTA
Faida zake
a. Atakufundisha mambo mengi ya upendo
na amani
b. Yeye ni mwanaharakati au
mwanamapinduzi
c. Atakupa maneno na falsafa zenye kukupa
msukumo wa amani na ni maneno ya
kihalisa yenye hisia
d. Anataka mke na familia
Hasara
a. Atakupiga chini akipata binti wa kizungu
b. Ana hela za kufanyia starehe ila hana
kazi maalumu
c. Haimiliki suti nzuri, siku zote amevaa
kombati au jinsi na kutokwa na jasho
d. Mwishoni utagundua kuwa alikuwa
anakuigizia
8. MR. FUTURE
Faida zake
a. Atakutambulisha kwa mama yake
b. Ana kazi na atakuwa mtu wa kujirusha
na wewe
c. Atakupa fedha za mahitaji yako kama
unahitaji
d. Wakati mwingine huenda kanisani
Jumapili
Hasara
a. Wakati mwingine naye anataka kuwa
mtu wa kuishi free
b. Ni mtu wa kuvaa mikufu na saa fake
c. Kuna wakati yeye yuko busy na kufuatilia
michezo aipendayo na kukusahau wewe
kama upo
d. Baada ya kuachana ndio utagundua
alikuwa ana mabinti kibao.
9. MR. KICHECHE
Faida zake
a. Atakuambia ukweli - kwamba wewe sio
mmoja tu kwake
b. Yeye atakwambia kwamba
umembadilisha na yuko tayari kutulia na
wewe
c. Anakaa kwake ana usafiri na atakuomba
uhamie pale make wote
Hasara
a. Hawezi kukutambulisha kuwa wewe ni
mpenzi wake mkiwa sehemu hasa akiona
kuna wanawake
b. Kwa ujumla yeye ni mzushi wa kila
afanyacho
c. Anatarajia wewe kuamini uongo wake
wote kwa sababu tu alikuambia ukweli
kuhusu wanawake wengine alipkuwa nao
d. Baada ya kumdaka uongo wake atajitetea
alishakuambia kuwa alikuwa kicheche
10. MR.NINA KAZI NZURI
Faida zake
a. Bila shaka ana kazi
b. Hana tabia nyingi mbaya sana
c.Atachukua wajibu wa kukuhudumia
wewe wakati wewe ni mgonjwa
d. Atakwambia kwamba yeye ana upendo
wa dhati na wewe
Hasara
a. Utadumu naye katika uhusiano wa miaka
2 au zaidi na kisha unakuja kugundua ni
mvivu, mpuuzi na bedui ambaye anataka
wewe kufanya kazi zote za mke lakini si
kukupa pete.
b. Atamaliza kwa kukuambia anakupenda
ila wewe sio chaguo lake
c. Baada ya kukuacha miezi mitatu baadae
anafunga ndoa
11. MR. RAFIKI WA UHAKIKA
Faida zake
a. Yeye ni rafiki yako bora, uamweleza kila
kitu kinachokusibu na mnakwenda pamoja
vizuri sana
b. Anatoa ushauri kwa wakati unapopatwa
na matatizo
c. Ni mwanaume wa kweli
d. mwelewa na anakujali na ni mcheshi wa
kupindukia
Hasara
a. Manishia kujirusha na mwishowe
unakuja kugundua hana lolote yeye
anataka sex basi.
b. Hapo unahitaji kupata mpenzi mpya
kwani yeye hana mpango wa maisha na
wewe
12. MR. MWANAUME SAHIHI
Faida zake
a. Yeye anampenda Mungu na anachukua
uhusiano wake na Mungu kwa umakini
b. Yeye ni mwelewa, ana kipaji na uwezo
wa kukuchukua wewe kiakili na kihisia
c. Naye atakupenda hata wakati wewe
haupendeki
d. Yeye ana ujuzi wa kufanya kazi kwa
ustadi na anapendwa !
e. Anakubali makosa yake na inajitahidi
kuwa mtu bora
f. Anaelewa uhusiano unajengwa kwa
200% . Yeye100% na wewe 100%
g. Yeye hana kundi la watoto wa mama,
yeye ni nadhifu zaidi na anakitambua.
h. Yeye ni rafiki wa bora wa kweli na kila
kitu unachotaka kwa mwanaume yeye
anacho
i. Alikuwa mzuri ulivyokutana naye ila
baada ya kukaa naye unagundua anazidi
kuwa nadhifi zaidi
j. Anaweza kupangilia mavazi - anajua
tofauti kati ya mavazi rasmi , ya kawaida, ya
kitaaluma, ya biashara
h. Yeye anampenda mama yake na
kuheshimu wanawake
Hasara
a. Hujawahi kutana naye na kama yupo basi
ana mke au mchumba .
b. Yeye hataki uhusiano wowote kwa sasa
c. Umeshamsikia sana mtu wa aina hii lakini
kamwe hujakutana naye na lazaidi
umeshakutana na aina hizo hapo juu za
wanaume na wakakuchezea vilivyo