Kama we ndo kidume hapo ungefanyaje?

The master

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
289
Reaction score
196
Mwanaume karudi nyumbani mke anauliza:
MKE: Mbona unanukia pafyum ya kike?

MME: Kuna dada tulikuwa tunabinyana naye kwenye daladala ilikuwa imejaa sana.

MKE: Na hiyo lipstick kwenye shati imetoka wapi?

MME: Kuna wageni tulikuwa tunakumbatiana nao kutoka Zambia walitutembelea ofisini kwetu.

MKE: Na hiyo kondom iliyotumika kwenye mfuko wako wa suruali?

MME: Bhanae mi nalala nimechoka sana kazini usinisumbue.

MKE: Lazima nikuulize mme wangu. Mwenzi kila kitu naacha huko huko nikirudi nyumbani niko shwari.

MME: Ati nini mke wangu???

MKE: Mi nalala bhana nimechoka.

Unafikiri nini kilifuatia?
 
Tayari ni story sasa wewe unataka nifanyeje hapa!
 
hapo muendelezo ni kwamba walicheza mechi kali
 
kilichofuata.....

walikumbatiana kwa furaha
 
Hahaha, peleka jokes
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
Mbwa kala mbwa hapo
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
Hivi india imefuzu nusu fainali au ni bangladesh?
 

wameokotana hao bwanah hamna kitu humoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…