Kama unataka high speed downloads

Mkuu, hiyo unlimited ya vodacom ni bei gani kwa mwezi, na je modem unayotumia ni aina gani? Ina uwezo wake wa speed ni kiasi gani?

huwa nunua UNLIMITED ya 30 days kwa 30,000/=, moderm yangu ni ya kawaida 2 bt ina uwezo wa 7.2mb ambapo nafahamu fika kabisa voda uwezo wao ni 1.2mb/s, bt ukiwa na unlocked modem then uka2mia windows connect to run internet apart 4rm the modem setup itakuwa ina run up to 64kbs, na unapo2mia torrent inauwezo wa ku boost above that 64kbs/s
 

kaka kuna modem nyingine ni 7.2mb bt hazina powerful connection, nimewah kuona modem ya MTN yenye uwezo wa ku run mpaka 12mbs, thats the best modem na m2 anaeitumia kwa tz anapata acces zaidi ya hyo 64kbs, na hata hizi 7.2mbs kama ni unlocked na upo ktk position yenye powerful connectn, mf. Dar city center , mwanza town capacity ya 3g connection inakuwa kubwa na uwezo wakufikia 84kbs ni rahc, bt endapo unatumia torrents,
 

Ni mtandao gani Zain au Voda na modem zao wanauzaje?
Samahani kwa maswali mengi.
 
hakuna modems za vodacom, zain , MTN , wala safaricom. zote zinakuwa na manufactures names eg ZTE, Huawei, na models tofauti eg E1750. hiyo ya mtn 12mbps ni make ya wapi? na model gani? au ulikuwa unamaanisha 14mbps maana ikitoka 7.2 ni 14.4mbps huwa zinakwenda kwa mtiririko huu. 1.8mbps,3.6mbps,7.2mbps na mwaka huu july imetoka 14.4mbps ambayo iko bado haijaingia sana kwenye market. kwa mahesabu nafriki wanazidisha hiyo 1.8mbps na 2/3/4/5/6...... mmmmmh lakini inawezeka maana 1.8mbps x 7 unapata 12.6mbps
you are right ipo ya 12mbps may be. ok tuje kwenye hiyo unlimited
unlimited haiwi kwenye 3g bali GPRS ambayo ni slooow sana. wao voda wanasema with best effort speeds of upto 64kbps. inamaana kama utatumia ma download meneja au hizo torrents ni inaweza kwa taabu sana kufikia 64kbps. na kama hutumii hayo madownload maneja na torents basi inakuwa 10kbps-20kbps.
kaka hapo kwenye powerful connection sijakuelewa.
 
Ni mtandao gani Zain au Voda na modem zao wanauzaje?
Samahani kwa maswali mengi.

chukua modem yoyote ile iwe wanatoa vodacom, zain, mtn, safaricom, then una unlock ikiwa unlocked then unaweza tumia line yeyote ile ya GSM. unachagua tu mwenyewe maana hawa jamaa bwana leo huyu mzuri, kesho anakuwa mbaya.
 
Wakuu naombeni msaada wa ku-unlock modem ya airtel au zain ili niitumie na laini yoyote
 
Ni mtandao gani Zain au Voda na modem zao wanauzaje?
Samahani kwa maswali mengi.

natumia VODA, ila kwa sasa cjui bei zao, bt nahsi wanauza elf 55 au 60. Ila unaweza kununua moderm yoyote ile then uka unlock ukawa unatumia kwa line zote.
 
chukua modem yoyote ile iwe wanatoa vodacom, zain, mtn, safaricom, then una unlock ikiwa unlocked then unaweza tumia line yeyote ile ya GSM. unachagua tu mwenyewe maana hawa jamaa bwana leo huyu mzuri, kesho anakuwa mbaya.

Asante mkuu kwa ushauri wako.
 
nimeweka tutorial kwa wale wanaotaka ku-unlock modems za vodafone k3565-Z products za ZTE
 

Attachments

  • Namna ya ku-unlock vodafone K3565-Z.rar
    589.4 KB · Views: 741
nimeweka tutorial kwa wale wanaotaka ku-unlock modems za vodafone k3565-Z products za ZTE
Hii iko powah saan calvinn.
great post.
lakini hii si kwa ajili ya k3565-Z modem pekee?. Modem nyingine like k3575-z itakubali?
 
nimeweka tutorial kwa wale wanaotaka ku-unlock modems za vodafone k3565-Z products za ZTE

man thanks for the links but dah,ile password yako uliyoieka inanizingua kila nikieka inaleta error.so please tell me how to put the password correctly way.au kama utatuapa another link ya hiyo file ambayo hujaeka password itakuwa apoa..thnkzz
and some of the program E set inadetect kama ni virus
na it gives this error.what z it suposed to be done?


C:\Program Files\ZTE Join Air\Component\BIUS8133.rra probably a variant of Win32/Adware.Agent.ERNGPLS application cleaned by deleting - quarantined SOLOMON\SOLO Event occurred on a new file created by the application: C:\Documents and Settings\SOLO\My Documents\my new softwares\modem unlocking 2 and instructions\Data\setup.exe.


THANKZZZZZZZZZZZ
 
password ni PO\/\/ER hiyo \/\/ ni \ then / then \ then / na si dabliu (w) hata modem zingine za zte zitakubali.
 

Asante sana kwa information kama hii. Naamini gharama zitaendelea kushuka siku hadi siku ili nasi tufaidi internet kama nchi nyingine. Hizi plan za bundle ni nzuri lakini zinafaa sana pale control ya kulipa inapokuwa haina urasimu mwingi! kwa mfano mtu binafsi. Kwenye organisations, km vile serikali ambako malipo ni baada ya service na pesa kutoka ni baada ya approvals kibao, huoni hiyo unlimited bado ndio njia nzuri?
 
Kuna jamaa mmoja humu alisema " nisawa na kupewa maji kwenye pipa halafu unapewa kijiko cha chai u ya empty" kwanini akupe maji pipa zima halafu akupe kijiko cha chai ku ya empty? Kwanini asikuache uwe huru, mwenye ndoo haiyaa, mwenye beseni haiyaa kazalika mwenye na kikombe haiyaa.Tujichotee tani yetu kwa mda mfupi.
 
r

UMEELEWEKA SAAAAAANA TU MKUU. NGOMA INATAKA UWEMO ILI UICHEZE. na kwa NDUGU Zasasule kununua Mb za airtel unaingia kwenye modem na utakuta menu kadhaa na mojawapo inasomeka "Pre Paid USSD". Ukibonya hapo utakuwa na uwezo wa kuongeza salio kwa kuandika namba ya vocha zako hadi ukifikisha tshs 2,500 ili kununua 400Mb. rudi hadi pale inaposomeka Text. Ingia hapo tuma neno "INTERNET" kwenda 15444. utapata message ya kukutaka ukubali au ukatae. ukikubali unapata message inayokukaribisha kuanza kuzitumia hizo 400Mb na mwisho wa kuzitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…