kiwanja kipo Mwandege-DSM, kina ukubwa wa unaozidi robo eka lakin hakifiki nusu eka, bei ni Tsh.milion 5 kama una pungufu njoo tuelewane,. sio lazima ulipe yote kwa mara moja, unaweza kulipa milion 1 alaf ukamalizia hela inayobak ndan ya muda usiozidi mwaka 1, aliye serious njoo pm
MWANDEGE ipo Dar es salaam chini kdg ya mbagala, ni sh.400 kutoka mbagala mkuu
Mhh,hii offer mbona naona kama imekaa kimsukule msukule.
hapa kuna mtu atapigwa, lazima.
MWANDEGE ipo Dar es salaam chini kdg ya mbagala, ni sh.400 kutoka mbagala mkuu