Kama unabisha pita nyuma ya nyumba ya andrew chenge mida ya asubuhi.

hii kali ya mwaka
ila wiki moja iliyopita alikuw bariadi akawambia wapiga kura wake kuwa hela bado anazo wasubiri mda ukifika atawagawia na wote wataionja escrow
 
Nawaombeni tu jamani, nisemeeni kwa mzee Chenge. Nipige nazo picha tu baasi. Kwani ukinusa harufu ya nyama choma ndo umekula ndafu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…