Umeanza mambo yakoUlipokuwa sekondary akaja mtu wa chuo akamchukua mpenzi wako, ukaenda chuo akaja mtu anayefanya kazi akamchukua mpenzi wako, ukapata kazi akaja mwenye gari lake akamchukua mpenz wako, ukanunua gari akaja mtu aliyeoa akamchukua mpenzi wako, ukaamua uoe kinakuja kiben10 cha chuo kinamchukua mke wako
We mtu unakipaji sana sema sijui ka unajua iloUmeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay
mziki,wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki
yako kwa sautiii ili akusikie, mara Dj
anazima gafla mziki huku
unapayuka halafu inakukuta
unapayuka "Bibi arusi mbayaa"
halafu umekaa nyuma ya meza ya
wazazi wake...
Hapo ndio utajuakuwa kiwembe na kisu vinakata lakini havina diwani
Haa ha ha ha ha... khaa*_Hakuna kitu kizito mfukoni kama pakti ya kondom wakati binti aliyekuahidi kuja amezima simu na unarudi nayo nyumbani..... Inakuwa kama Mfuko wa simenti._*
Huu unaitwa ugomvi wa mawe huu