Huo utafiti/uchunguzi/ufuatiliaji wako ulipata uwiano upi?Kati ya waliooa wangapi walipata mahangaiko ukilinganisha na wangapi wasiooa katika maeneo yapi?Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa! Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa. Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako!?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Kama ukioa: hizo pesa unazozihurumia hautakuwa na maamuzi nazo tena. Kuna mtu atazitumia atakavyo na mkizinguana anaondoka nazo zote!Saw uko sahih mzee sisi bado hatuna maamuz ila
Kugusa gusa mademu weng kuna maliza pesa mno nabaki dilema tutaoa tu tutakua makini na tutakao funga nao pingu za maisha
Ni utafiti usio rasmi ila nimeufanya katika wilaya nnayoishi.Huo utafiti/uchunguzi/ufuatiliaji wako ulipata uwiano upi?Kati ya waliooa wangapi walipata mahangaiko ukilinganisha na wangapi wasiooa katika maeneo yapi?
Siku ukiwa kwenye maandalizi ni tag nikuchangie nipo seriousSaw uko sahih mzee sisi bado hatuna maamuz ila
Kugusa gusa mademu weng kuna maliza pesa mno nabaki dilema tutaoa tu tutakua makini na tutakao funga nao pingu za maisha
Mashoga yamejaa kwenye ndoa, yanapenda mno kuoa/kuolewa. Wake zenu kutwa kulalamika hamuwafikishi kileleni, mara mnavibamia n.k mwisho wa siku wanatuletea mbususu tuzichakate! Hapo mashoga ni nyie msiowatosheleza wake zenu au sisi tunaowasaidia kuwakuna!?Sasa shoga na ndoa wapi na wapi?
Unategemea shoga atasupport ndoa?
Nioneshe shoga aliye kwenye ndoaMashoga ndo yamejaa kwenye ndoa, yanapenda mno kuoa/kuolewa.
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli, stress zenu za ndoa msituletee sisi please.
Mi KE mie sio lesbianUnanunua hisa kabisa ili umtafunie mkewe!
Admin unganisheni hizi threads z LGBTQKwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!
Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.
Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Huu Uzi uwekwe kwenye katiba mpyaKwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!
Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.
Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Ah sasa ishu kama ni ndalama sii unatafuta mzeya ili ugegede mbususu nyingi.Saw uko sahih mzee sisi bado hatuna maamuz ila
Kugusa gusa mademu weng kuna maliza pesa mno nabaki dilema tutaoa tu tutakua makini na tutakao funga nao pingu za maisha