Kama una dish na dercoder ya zuku ya zamani ingia hapa!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
kwema wakuu? km una dish na dercoder ya zamani ya zuku kwa maana zile dercoder kubwa na nyuma ina sehemu ya usb basi huna haja ya kuiweka kapuni, kuna mbinu zaidi ya kukufanya uifurahie, kwa imfo zaidi just pm! karibuni!
 
we toa maujuzi hapa haina jana ya pm
 
kiufupi unaweza tumia dish la zuku na hiyo dercoder, kupata local chanel zote na baadhi za nnje, bila malipo ya mwezi!
 
Electrical Technian; unaskia harufu ya nini? umiza kichwa ujue mengi, kalagabao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…