Naona ccm inashutumu chadema kuwa wako karibu na umoja wa ulaya ila huwa hawasemi wao hadi balozi wa china anavaa sare za ccm huwa hawaoni boliti ndani ya jicho lao.
Ivi ile misaada na mikataba ya rasilimali za nchi walizosaini ccm toka uhuru walisaini chadema? Hadi juzi mnampa mchina gesi walisaini chadema? Migodi yote walisaini chadema?
Ile misaada ya ulaya huwa inakuja bure toka kwa hao mabwana?
Vitalu vya uwindaji walisainiwa na chadema?
Ni kipi ambacho hamjauza ambacho wanikitaka hao mabwana ambacho chadema watawapa? Semeni ni kipi