Kama umewahi kupata mpenzi kupitia ‘wrong number’ karibu hapa kushare kisa chako

Nilimpata nikiwa Dom chuo, alikosea akaniomba samahani, nikaendelea kumhoji kumbe naye yupo Dom. Kumwuliza sehemu gani akasema CRJE kampuni ya wachina wanaojenga hostel za udom yeye ni store keeper. Nikamwambia, mm mbona nipo Udom?

Tukapanga kuonana, aisee ni mnyaturu wa singida mkali balaa! Rangi Kama chocolate, hips kama zote. Nikamla.
Visa vya wrong number vipo vingi ila huyu namkumbuka kwakuwa ndiye mwanamke pekee niliyempiga goli tamu kuliko yeyote kati ya wanawake 50+ akiwemo na mke wangu, naamini hadi naingia kaburini siwezi pata utamu wa bao kama lile.
Mchaichai huu
 
Yule mwanamke hakuwa na heshima kabisa na mumewe...yaani hadi ananitumia zawadi kwa bus kutoka mbeya hadi dar!

Kwa hishima ya mumewe, nikampiga chini chap kwa haraka.
 
Back
Top Bottom