Kama Uko Rocky city soma hapa ...

Me mkaz wa uko but sijaelewa lengo la hap n nn,,nipen bia za bure
 

unajifungia n bby wako af unasem karbu haya nikarbsh n mm tukae n bby wako
 
Kumbe members wanaoishi mwanza ni wengi eeh!wakuu Itabidi tupange Siku tukutane na tufahamiane Maana huo ndo umoja
 
Haswaa, litakuwa ni jambo la maana sana, hebu anza kuorginize jmosi moja tukutane, ikibidi tuanzishe umoja wetu kama wanavyofanya wenzetu wa mikoa mingine
Kumbe members wanaoishi
mwanza ni wengi eeh!wakuu Itabidi tupange Siku tukutane na tufahamiane
Maana huo ndo umoja
 
Kesho asbh sokoni, mchana kanisani. Jmosi villa park then mwz hotel. jpili kanisani then malaika beach na familia. J3 mtaani kwangu kiseke ppf, karibuni

Kumbe u-jirani yangu wewe?
 
Nimemiss sana pande za Rock city binafsi huwa siku kama hizi napenda kuchili maeneo yangu yakujidai CROSS PARK pande za Igoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…