Hii suala la ati kuwa na staha na huruma dhidi ya wengine kibiashara halina nafsi.Nadhani kuna watu walisema the same scary staff kwa tigo halotel, kampuni ambazo zimeleta mapinduzi ya kimatumizi na kuuza kwa kasi ndani ya muda mfupi na kuongeza marketshare yao. Sikiliza nikwambie ndugu, katika biashara sometimes kuna ile hali ya "stalemate" ambapo kila mtu anahofia kutake the first move kwa kuhofia kupata loss na kupoteza revenue sokoni..... And when that happens ndipo kampuni huwa zinakuwa almost the same kwenye bei za bidhaa na huduma ili kubreak even.
Lakini, nikwambie tu jambo moja ni kwamba, kampuni ambazo huja na idea ya tofauti ya kihuduma na kwa bei nafuu ndio hufanikiwa kubreak hiyo stalemate scenario na mambo hugeuka kwa hiyo kampuni kuwa leader.....
Kwa mfano kwa hawa ma ISP wa fiber kuna kampuni inaitwa ZUKU Fiber kwa sasa inaoparate upanga, masaki, msasani na maeno ya fire hapo ipo very cheap and fastest of them all na hakuna kampuni inaifikia kwa sasa..... na ni very very affordable na money value back......kitu ambacho ni tofauti katika industry ya fiber internet.
Hawa ttcl wana room ya kuexpand na kukua kama wataamua kufanya risk ya kuuza vifurushi cheap below normal market prices zilizopo. Na wakifanya hivyo watakuwa wamemaliza.
Kwa upande wangu nadhani TTCL wanajaribu tu kuwa na staha na huruma maana uwezo wa kushusha bei to the minimum and lowest point impossible wanao ila tu wanaplay fair na hawa waliopo sokoni maana wakishusha ndani ya muda mfupi soko loote la watumia internet lita divert kuja kwao. Kwan nani alianza washawishi watu kununua products za halotel, it was simply the attractive, affordable and cheap packages ndizo zilifanya watu kujoin...... Same story kwa tigo ambayo ilikimbiza sana soko baada ya kuchange package ya huduma zao kwa kuleta vifurushi ya extreme ambavyo at first it looked like a very risky move ila it paid well na kampuni ilikuwa inapumulia mashine ikaanza kurudi kwenye afya yake hadi leo ni top giant ya kampuni za mitandao ya simu na internet.
Hebu niambie what could be more risky than kuruhusu watu kuongea free kutoka saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi kisha baadae kuintroduce huduma ya package ya extreme ambayo unatakiwa kulipa only 1000 Tshs, na kuongea na kutuma text (internet ilikuwa bado kipindi kile maana no smartphones kama za kileo za Google play zilikuwako) tokea saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.....Unadhani ungelikuwa ni wewe ungethubutu kushawishi panel kuruhusu hayo maamuzi na hela za wawekezaji zikiwa on stake......?!
Sasa kwann risky move iwe ni tatizo kwa shirika la serikali ambalo mbali na advantage ya kupewa ruzuku na mtaji na serikali lakini pia lina brand name so popular ambayo inatambulika tokea miaka ya 1980's.......
So kwa upande wangu i don't see the risks at all....
Me najiuliza mbona kama halotel wapo vema sana katika internet na ni kakampuni kajuzi tu. Wataka nambia Halotel kiuwezo inaizidi ttcl?!Kwanza waanze coverage ya network, kwasababu maeneo mengi mno, internet ni ipo na speed ndogo.. yaani afadhali hata mwendo wa kobe
Tume ya ushindani si ipo kwaajiri ya kusimamia unfair trade practices na si kuzuia kampuni kubuni mbinu za kuchana soko na kushika wateja wengi zaidi.kumbuka kuna kitu kinaitwa tume ya ushindani huru kwenye sekta fulani ndio maana bei uwa azitofautiani sana
Bado sana bora nibaki tigoTTCL bando's mmmmmhView attachment 1112205View attachment 1112206
Kaka unaongea point kwa mwenye akili lzm akuelewe....,leo nilikuwa na mjadala kama huu ndani kundi la uvccm lkn niliambulia matusi nikasema ok thanx tusubiri nguvu itumike kwenye biashara badala ya akili.Nadhani kuna watu walisema the same scary staff kwa tigo halotel, kampuni ambazo zimeleta mapinduzi ya kimatumizi na kuuza kwa kasi ndani ya muda mfupi na kuongeza marketshare yao. Sikiliza nikwambie ndugu, katika biashara sometimes kuna ile hali ya "stalemate" ambapo kila mtu anahofia kutake the first move kwa kuhofia kupata loss na kupoteza revenue sokoni..... And when that happens ndipo kampuni huwa zinakuwa almost the same kwenye bei za bidhaa na huduma ili kubreak even.
Lakini, nikwambie tu jambo moja ni kwamba, kampuni ambazo huja na idea ya tofauti ya kihuduma na kwa bei nafuu ndio hufanikiwa kubreak hiyo stalemate scenario na mambo hugeuka kwa hiyo kampuni kuwa leader.....
Kwa mfano kwa hawa ma ISP wa fiber kuna kampuni inaitwa ZUKU Fiber kwa sasa inaoparate upanga, masaki, msasani na maeno ya fire hapo ipo very cheap and fastest of them all na hakuna kampuni inaifikia kwa sasa..... na ni very very affordable na money value back......kitu ambacho ni tofauti katika industry ya fiber internet.
Hawa ttcl wana room ya kuexpand na kukua kama wataamua kufanya risk ya kuuza vifurushi cheap below normal market prices zilizopo. Na wakifanya hivyo watakuwa wamemaliza.
Kwa upande wangu nadhani TTCL wanajaribu tu kuwa na staha na huruma maana uwezo wa kushusha bei to the minimum and lowest point impossible wanao ila tu wanaplay fair na hawa waliopo sokoni maana wakishusha ndani ya muda mfupi soko loote la watumia internet lita divert kuja kwao. Kwan nani alianza washawishi watu kununua products za halotel, it was simply the attractive, affordable and cheap packages ndizo zilifanya watu kujoin...... Same story kwa tigo ambayo ilikimbiza sana soko baada ya kuchange package ya huduma zao kwa kuleta vifurushi ya extreme ambavyo at first it looked like a very risky move ila it paid well na kampuni ilikuwa inapumulia mashine ikaanza kurudi kwenye afya yake hadi leo ni top giant ya kampuni za mitandao ya simu na internet.
Hebu niambie what could be more risky than kuruhusu watu kuongea free kutoka saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi kisha baadae kuintroduce huduma ya package ya extreme ambayo unatakiwa kulipa only 1000 Tshs, na kuongea na kutuma text (internet ilikuwa bado kipindi kile maana no smartphones kama za kileo za Google play zilikuwako) tokea saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.....Unadhani ungelikuwa ni wewe ungethubutu kushawishi panel kuruhusu hayo maamuzi na hela za wawekezaji zikiwa on stake......?!
Sasa kwann risky move iwe ni tatizo kwa shirika la serikali ambalo mbali na advantage ya kupewa ruzuku na mtaji na serikali lakini pia lina brand name so popular ambayo inatambulika tokea miaka ya 1980's.......
So kwa upande wangu i don't see the risks at all....
umeenda mbali pili ujanielewa point yang vile vileTume ya ushindani si ipo kwaajiri ya kusimamia unfair trade practices na si kuzuia kampuni kubuni mbinu za kuchana soko na kushika wateja wengi zaidi.
Asante kwa ushauri wako mzuriHabarini.
Nafuatilia kwa umakini agizo la mkuu wa kaya, mhehishimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania juu ya maagizo aliyotamka kuwataka wafanya kazi na watendaji wa serikali kumiliki line ya simu ya kampuni hii ya umma. Hii si ombi ni amri.
Kwanza ni vema tukafahamu kuwa kumiliki line ya simu ya mtandao ambao ni mali ya taifa letu ni uzalendo wa hali ya juu. Kwa maana tunaruhusu pesa za wananchi kulikuza shirika lao kumiliki kwa maana shirika la taifa.
Sasa nijikite kwenye kushauri juu ya mkakati bora wa kuhakikisha hili la umiliki line kwa asilimia kubwa linazaa matunda.
Sote tunafahamu kuwa uchumi wa sasa kwa mataifa mengi kwa asilimia tisini (90%) ni uchumi wa soko hiria kwa maana nguvu za ugavi na mahitaji (Demand & Supply)ndizo zinaendesha soko kinyume na maagizo ya mhehishimiwa raisi ambae ametumia utashi wa kizalendo kutoa maagizo yale muhimu.
Napenda kushauri hili shirika ambalo limekuwapo kwa muda mrefu kujikita zaidi katika mauzo ya internet kwa kutoa vifurushi vya gharama nafuu na ujazo mzuri. Matumizi ya simu kwasasa ni 90% internet related kama vile ambavyo watumiaji wa smartphone wanavyozidi kuongezeka kila uchao.
Hali halisi katika soko kwasasa ni nani mwenye huduma bora...... Na si nani ana line nyingi ndio mafanikio yalipo.
Mimi nimeweka kapuni line za kampuni kede wa kede kama halotel, tigo, na wengineo sababu ya kuwa disappointed na huduma ambazo hazinishawishi kutumia pesa yangu kuzinunua hizo mbovu na sizizokidhi mahitaji.
Vifurushi vya TTCL internet bado viko gharama ya juu sana ukilinganisha na makampuni mengine binafsi na ukizingatia kuwa hili ni shirika la serikali.
Hakuna uchawi wala hujuma za aina yoyote bali nasema ni uzembe uliokithiri wa watendaji waliopo kutokupambana kitaalamu na kutokuwa wabunifu.
Badala ya muheshimiwa raisi kusema kila kiongozi na mtendaji wa serikali kuwa na line ya ttcl kwann watendaji wa TTCL wasiweke vifurushi kwa gharama nafuu sana ambayo itawawezesha kuamsha ugwadu wa kuitaka line ya ttcl?!
Kwani tigo au halotel walisaidiwa na raisi wa awamu ipi kupigiwa debe na hadi wakapata subscribers wengi hadi kupata boom katika mauzo na kupata faida kali hatari?!
Hawa watendaji wa TTCL wanauzoefu au ubunifu kiwango gani katika level za soko la kisasa?!
Hebu watendaji wa TTCL kuweni serious na utendaji. Na nitawafanyia figisu hadi muone uchungu kukalia hizo siti na kukuna matumbo badala ya vichwa.
Shirika la serikali eti mb 300 nanunua kwa Tsh. 500.
Me nilitengemea at least mkao wa bei ungekuwa kama ifauatavyo!
Vifurushi vya siku (saa 24)
500 mb = Tsh 250
1gb = Tsh 500
2gb= Tsh 700 au 800
4gb = 1,000
6gb = 1,500
8gb = 2,000
20gb =4,000
Vifurushi vya wiki (siku 7)
4gb= 500
8gb=1,000
10gb=2,000
15gb=2,500
20gb =4,000
30gb=5,000
Vifurushi vya mwezi (siku 30)
10gb= 4,000
20gb= 8,000
40gb= 10,000
60gb=15,000
80gb=20,000
100gb=30,000
Waweke hivi vifurushi halafu watajionea balaa lake idadi ya wateja watakaopokea kwa siku....... Hakuna uchawi ni kusacrifice tu bei za chini kwaajiri ya wateja uone kama mambo hayatojibu.