Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
- Thread starter
-
- #21
Wewe ndiyo Msaliti namba moja, kwanza umevunja Sheria za Nchi yetu kwa kuiita Tanganyika wakati hiyo Nchi haipo kuna Nchi moja tu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pili wewe ni Muongo mkubwa, pamoja na changamoto nyingi tulizonazo lkn bado tumejitahidi na tumepiga hatua kubwa tu mbele ukilinganisha na tulikotoka, Mifano hai ipo mingi kuna watu nawajua ambao wametokea Familia maskini kabisa lkn wameweza kusoma mpaka Chuo Kikuu na sasa wamepata kazi na wameondokana na Umaskini, si ajabu hata wewe ukawa mmojawapo!
Idadi ya Wamama wanaozalia Hospitalini imeongezeka kwa maana nyingi vifo vya mama na mtoto vimepungua, vijana wengi tu wanapata kazi wana maisha mazuri ingawaje bado kazi ni kubwa mbele, lkn tunakwenda vizuri!
Hivyo, Acha Uongo na ni najua kwa uhakika wewe hauko Hospitalini na wala haujaumizwa, ila uko hapa kuwakebehi wale waliokufa na kuumizwa kwa manufaa yako binafsi, wewe ndiyo moja ya wachochezi wakubwa mnaokaidi Sheria za Nchi kwa kwenda kinyume na Matakwa ya Serikali (Halali), Acha uchochezi waache marehemu wa watu wapuumzike kwa Amani na usijali zamu yako kwenda Hospitalini itafika tu!
ifweero, unajibu hoja moja kwa post nne?? Kila post shilingi ngapi? Utajiri hautafutwi hivyo
ifweero, unajibu hoja moja kwa post nne?? Kila post shilingi ngapi? Utajiri hautafutwi hivyo
wasalimie huko kuzimu ila ukome kuwa mjinga
Ni kweli waanzilishi wa siasa za fitina ni Chadema leo watu wamekuwa wakichomea nyumba kisa mbunge wa CCM kweli? kila kwenye mikutano na maandamano CDM wanayopanga lazima watu wafe tena ni wale wasiojiweza ambao wamepandikizwa chuki wakati viongozi wao husikii kuwa wamepata hata mkwaruzo, wakati nyie mwalala hospitali wao wako ndani ya viyoyozi na suti nyeusi wakisubiri eti waje wawazike kwa heshima huku familia zenu zikiachiwa majeraha ya moyo.Nashindwa kuamini kama watanzania tumegeuka kuwa wanyama, kuna matukano ya kutisha humu, ndani,shetani amepata wa kwake...ccm inabidi muurudie utu, labda ni mob psychology?..but its too much!..kama tunafikia hatua hii, kinachofuata ni majumbani tunakoishi, kuafuatana nyumba kwa nyumba ili mradi huyu ni ccm,yule chadema, NCCR nk..hapo ndipo tutaona madhara ya siasa za fitina
Tunaomba ututhibitishie kwamba hayuko hospitali,vinginevyo utakua unahalalisha hisia zako.Lakini hata hizo huduma serikali imeziweka je zina ubora,jiulize ni kiongozi gani anatibiwa hapa nyumbani kama si nje.Angalia Afrika Kusini Mzee Mandela anatibiwa nyumbani na wamepata Political independence 1994 wakati Tanganyika ilipata 1961. Ndo hoja ya mleta mada hapa.Wewe ndiyo Msaliti namba moja, kwanza umevunja Sheria za Nchi yetu kwa kuiita Tanganyika wakati hiyo Nchi haipo kuna Nchi moja tu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pili wewe ni Muongo mkubwa, pamoja na changamoto nyingi tulizonazo lkn bado tumejitahidi na tumepiga hatua kubwa tu mbele ukilinganisha na tulikotoka, Mifano hai ipo mingi kuna watu nawajua ambao wametokea Familia maskini kabisa lkn wameweza kusoma mpaka Chuo Kikuu na sasa wamepata kazi na wameondokana na Umaskini, si ajabu hata wewe ukawa mmojawapo!
Idadi ya Wamama wanaozalia Hospitalini imeongezeka kwa maana nyingi vifo vya mama na mtoto vimepungua, vijana wengi tu wanapata kazi wana maisha mazuri ingawaje bado kazi ni kubwa mbele, lkn tunakwenda vizuri!
Hivyo, Acha Uongo na ni najua kwa uhakika wewe hauko Hospitalini na wala haujaumizwa, ila uko hapa kuwakebehi wale waliokufa na kuumizwa kwa manufaa yako binafsi, wewe ndiyo moja ya wachochezi wakubwa mnaokaidi Sheria za Nchi kwa kwenda kinyume na Matakwa ya Serikali (Halali), Acha uchochezi waache marehemu wa watu wapuumzike kwa Amani na usijali zamu yako kwenda Hospitalini itafika tu!
Maaaaninah.!!!!
ifweero, unajibu hoja moja kwa post nne?? Kila post shilingi ngapi? Utajiri hautafutwi hivyo
posti zote ni za kuomba posho. Utafia humu jf kwa kilo ya unga.................................. Mwenye njaa hana urazini! Pole.binafsi sidanganyiki sijui wengine
Mwenyezi mungu akuweke mahala pema mbinguni..ameen
Tunaomba ututhibitishie kwamba hayuko hospitali,vinginevyo utakua unahalalisha hisia zako.Lakini hata hizo huduma serikali imeziweka je zina ubora,jiulize ni kiongozi gani anatibiwa hapa nyumbani kama si nje.Angalia Afrika Kusini Mzee Mandela anatibiwa nyumbani na wamepata Political independence 1994 wakati Tanganyika ilipata 1961. Ndo hoja ya mleta mada hapa.
binafsi sidanganyiki sijui wengine