hapana....u won't love her!!Japo inauma sana, nitakubali tu na maisha yaendelee
ndio japo inauma...kwa hiyo bora urudi jelahapana....u won't love her!!
unaingia kwenye maisha mengine ya tabu kuliko hata yale ya jela.
As nimetoka, ningemruhusu akaolewe na huyo jaji.
Sijasema nirudi jela, as nimeshatoka.ndio japo inauma...kwa hiyo bora urudi jela
ahahaha kwa hiyo fadhila yako unamlipa kwa kumuacha?Sijasema nirudi jela, as nimeshatoka.
Nitamshukuru kwa alilofanya.
But to be free indeed, we should be separated....
Umenisoma mkuu?
Akaishi na jaji mimi nitatafuta pia wa kuishi nae...
Yaani una create sphere nyingine ya maishA hapo....
kuishi na mtoto wa jaji....mhhh... Hapo umejiingiza jela nyingine kabisa
Good for me and her...ahahaha kwa hiyo fadhila yako unamlipa kwa kumuacha?
ahahaha sawa mkuuGood for me and her...
No way out!! au labda judge afe
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app