MFANO wewe ni mwanamke Mwanaume wako wa mwanzo amekutelekeza mda mrefu hajui unakula wala unavaa nini hana mpango kabsa wala hawajali watoto wake, akatokea mwanaume mwingne mkapendana atakuwa amekuiba? Je unapenda kuwa single mother muda wote, unakubali kwamba nyie wanawake mliotelekezwa tusiwaoe kisa kwa kaul yako kwamba tunaiba mke wa mtu?Ni mkeo wa ndoa au sogea tuishi!?
Una uhakika upi kuwa wale ni wanao?
Ujasiri wa watoto kuandikwa jina la mwanaume mwingine umetoka wapi ikiwa kweli ni watoto wako?
Ulimkuta single kweli au uliiba mke wa mwenzio!?
Unagombaniaje mtu asiyekupenfda? Una haika gani kama hata hao watoto wako?najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,
Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hvi mm nimeoa mke nilimkuta single mother mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikpata kazi nje ya nchi, huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu nawatoto kawasajir majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu, wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakn sanyinge inabidi tu kufanya hvyo, kabla hatujabadilishana majengo ya serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana
Ushauri mzuri sana huo.....mtoa mada zingatia hiloUna uhakika watoto ni wako?
Amelazimishwa kwenda kwa huyo bwana?
Upo nje ya nchi?
Una kazi yako unafanya?
Unarudi lini?
Ukirudi una kazi unakuja kufanya?
Usimtafute hata kwenye simu,kama ulikuwa umepanga hama ukirudi kaish kwingine!
Kwani huyo mkeo alitekwa au alienda kwa mapenzi yake kwa huyo ex wakeNajua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,
Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hivi mm nimeoa mke nilimkuta single mother, mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu. Mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikapata kazi nje ya nchi. Huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu na watoto kawasajiri majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu.
Wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakini saa nyingene inabidi tu kufanya hivyo, kabla hatujabadilishana majengo ya Serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana