Kama namuona mbuyu twite...

Nitachekaa! ikibidi nitarudi uchii mpaka nyumbani. Lakini siku hiyo uwanjani atakua simba gani jike, Dume, hau Mtoto?

Vipi mdau gemu hii uombi BAN? Usiwe muoga safari hii utapatia utabiri omba japo ya wiki moja kuonesha msisitizo.
 
Kama namuona Julio akitukana Waandishi waliokuwa wakijaribu ku'mhoji baada ya team yake kupokea kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…