Habarini za leo wakubwa?
Leo nimeleta kwenu hoja hii ambayo nimekuwa nikijiuliza sana kwa mda mrefu toka vuguvugu la Membe kuonyesha nia ya kumpinga Rais Magufuli.
Je kwanini vijana wa CCM wanatumia muda mwingi na efforts nyingi kusema Membe hana ushawishi kama hana ushawishi kwanini wanateseka nae?
Kama serikali hii imefanya makubwa kiasi cha kupendwa na wananchi kwanini inaogopa na haipendi kukosolewa?
Hayo ni maswali yangu makubwa kwa vijana wa CCM damu damu ambao unakuta hawana Hata ajira wapo kumtukana Membe ambae amewazidi pesa na kila kitu.
Vijana wa CCM serikali yenu imefanya makubwa msimalize damu zenu kumshambulia Membe muacheni kweli tuone kama hana huo umaarufu mnaousema.
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHA JITEMBEZA AWAMU HII IMEZIDI KUJITEMBEZA WANANCHI TUTAFAKARI USIKUTE HAWAJAFANYA KITU HAWA WAHUNI NDIO MAANA PROPAGANDA ZIMEZIDI.
CCM ni chama kioga sana kwani wanajijua hawana watu ila wanategemea dola kubaki madarakani.Mbona wewe unaisema CCM ambayo imekuzidi pesa na kila kitu hadi nimekamata nchi?
Membe hana nguvu ya kuishinda CCM naona anaelekea kule kule kwa Sumaye. Yani Membe na Sumaye hawana tofauti bora Lowassa alikuwa na ushawishi lakini si Membe.
CCM ni zimwi ambalo halijapata muaguzi wa kuliondoa bado...
Kwahiyo ndiyo maana CHADEMA inaokota makapi kisa CCM ni chama kioga? Ni kwanini CHADEMA inachukua makapi yaliyotemwa na CCM na kuyapa nafasi ya kupeperusha kijiti cha nafasi kubwa?CCM ni chama kioga sana kwani wanajijua hawana watu ila wanategemea dola kubaki madarakani.
Ngojeni muone siasa mtakoma kuzuia siasa kwa miaka 5. Miezi miwili tu itawafundisha mengi. Hivi wewe kweli unasapoti ccm? Au unatoka chattle.Kwahiyo ndiyo maana CHADEMA inaokota makapi kisa CCM ni chama kioga? Ni kwanini CHADEMA inachukua makapi yaliyotemwa na CCM na kuyapa nafasi ya kupeperusha kijiti cha nafasi kubwa?
Membe for president via chademaHabarini za leo wakubwa?
Leo nimeleta kwenu hoja hii ambayo nimekuwa nikijiuliza sana kwa mda mrefu toka vuguvugu la Membe kuonyesha nia ya kumpinga Rais Magufuli.
Je kwanini vijana wa CCM wanatumia muda mwingi na efforts nyingi kusema Membe hana ushawishi kama hana ushawishi kwanini wanateseka nae?
Kama serikali hii imefanya makubwa kiasi cha kupendwa na wananchi kwanini inaogopa na haipendi kukosolewa?
Hayo ni maswali yangu makubwa kwa vijana wa CCM damu damu ambao unakuta hawana Hata ajira wapo kumtukana Membe ambae amewazidi pesa na kila kitu.
Vijana wa CCM serikali yenu imefanya makubwa msimalize damu zenu kumshambulia Membe muacheni kweli tuone kama hana huo umaarufu mnaousema.
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHA JITEMBEZA AWAMU HII IMEZIDI KUJITEMBEZA WANANCHI TUTAFAKARI USIKUTE HAWAJAFANYA KITU HAWA WAHUNI NDIO MAANA PROPAGANDA ZIMEZIDI.
Siisupport CCM ila CHADEMA kuwa wanachukua rejects za CCM na kuzipa kijiti tena zile rejects ambazo hata wao walikuwa wanaziponda inahitaji uwe na ujasiri kuwasupportNgojeni muone siasa mtakoma kuzuia siasa kwa miaka 5. Miezi miwili tu itawafundisha mengi. Hivi wewe kweli unasapoti ccm? Au unatoka chattle.
Kumbuka hata chuma chakavu kinayeyushwa na kurudi kazini, endapo una technologia hiyo. Tutawapiga kwa wana CCM hao hao ni akili tu.Siisupport CCM ila CHADEMA kuwa wanachukua rejects za CCM na kuzipa kijiti tena zile rejects ambazo hata wao walikuwa wanaziponda inahitaji uwe na ujasiri kuwasupport
Acha maneno ya kujipa moyo, solengo si mabadiriko kumbe ni ushindi tu ambao hata hamjali mtaupata kwa njia gani? So tofauti ni nini kama mnatumia wale mliokuwa mnawasema kuwa ni wabaya ndiyo mnawapa nafasi? Haki inahitaji uwe na imani kama ya muumini wa dhehebu isiyohoji kuwaelewa CHADEMAKumbuka hata chuma chakavu kinayeyushwa na kurudi kazini, endapo una technologia hiyo. Tutawapiga kwa wana CCM hao hao ni akili tu.
Nzuri!Habarini za leo wakubwa?