Kama Lowasa angelikuwa MZANZIBARI

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Tarehe zinaonyesha pale MZANZIBARI anapokwenda kinyume na kutokubaliana na CCM kinachofuata kinajulikana ,ukianzia na akina ,Aboud Jumbe,Seif Sharifu hadi huyu wa juzijuzi tu Mansour ,kilichowakuta hi suali la Mtanganyika anapokosana na Chama chake cha CCM mbona hatuoni wenye viti ,meza ,kata na upawa kuwashupalia na hata vyombo vya dola kuwabambikizia kesi za ajabu ajabu ?,

WaZanzibari jiulizeni WaTanganyika tupeni jibu :smokin:
 
Mwiba upoo mramu,


vipi jimbo gani mwaka huu?

umepita au umekatwa?


Karibu Ukawa, Dr. Slaa kanuna, wewe vipi?
 
Slaa hajanuna wala hajababaika yupo katika mikakati na take my words ataibuka na somo litakalo waacha hoi jamii ya akina mangula na Nape.najiandaa kujiunga na CCM punde tu nitakaposikia kimekuwa chama pinzani dhidi ya serikali tawala.

:A S-rap: Bado najiuliza why only for Zanzibarians CCM vigogo wanaadhibiwa wanapoachana na CCM
 
Huku Tanganyika tutasema ni FISADI, ANA UCHU WA MADARAKA, MSALITI , nk.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…