kila ubadhilifu unaotokea nchi hii, huyu zimwi hakosekani EPA, RICHMOND, MEREMETA, IPTL, ESCROW nasikia hadi DOWANS yupo, sidhani kama kweye sakata la faru yohana anakosekana, hebu fikiria ni wangapi nchi hii wanalala njaa kwa ajili yake, ni wagonjwa wangapi wanakufa kwa kukosa huduma kwa ajili yake, ni vijana wangapi wanaenda jela kwa kukosa ajira kwa ajili yake, Eee Mungu tuondolee huu uchuro na mkosi kwenye nchi yetu.