Stone killer
Senior Member
- Mar 21, 2023
- 101
- 192
Af ukifeli test wana ki message Chao kina KERA sana mammae...hiki hapa nakiweka..,Poleni…
Labda biasharaStop that madness......
Kuna watu hamkuumbiwa ajira
Kila hatua duaDah pole man,issue ya ajira bongo kipengele kuna wadau wangu toka 2015 wako bench naweza imagine situation unayopitia but Mungu atafanya wepesi amini home boy
Si unawapataALISTAIR 🤒
Maji shingoni kakaMkuu kwa huu uhiphop hata hr si atakuogopa?
Hadi mlinzi nae mjomba tuKuna wale wapo kigamboni (TAZAMA PIPELINE) hawa wote kuanzia wa getini hadi huko ndani ni “u ndugulization”
Nakuelewa boss.Maji shingoni kaka
Mkuu, kuna hali mtu ukifika unahisi kumchukia mtu mwenye kazi bila sababu akikatiza mbele yakoHadi mlinzi nae mjomba tu
Ni kweli, lakini tumepigwa saana, hapa tuwe wapole tuSiku hizi bila connection kufanikiwa ngumu
Kwanza ondoa mentality ya kujiita wewe ni jobless sema tu ujapata kazi unayotaka...!Oya wanajamvi ...Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop...oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri wasitume tangazo , au kama wana watu wao wawaite TU ,wanatuchanganya majobless , unapiga Pepa online maswali 40 ujibu ndani ya lisaa limoja, passmark ni 65% humo humo Kuna maswali ya mathematics hasa sequence and series nyingi ,ya uelewa , ya language , labda mimi kilaza ila Ile Pepa kutoboa is not easy ....I'm out of this shit niga.
mara nyingine nlienda kwenye interview somewhere kulikuwa na nafasi 43 , kati ya hao 39 walikuwa wanarenew mikataba na nafasi zikabaki nne tupo raia mia mbili na point huko, na wote tulipigwa written Pepa then oral interview what the hell is this....i think authorities know nothing about what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala we have been through.
afu kuna hii ishu ya ajira jeshi la polisi nao sijui wanatuonaje majobless na link Yao mbovu na hawatoi tamko hadi Sasa...
Oya wanajamvi ...Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop...oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri wasitume tangazo , au kama wana watu wao wawaite TU ,wanatuchanganya majobless , unapiga Pepa online maswali 40 ujibu ndani ya lisaa limoja, passmark ni 65% humo humo Kuna maswali ya mathematics hasa sequence and series nyingi ,ya uelewa , ya language , labda mimi kilaza ila Ile Pepa kutoboa is not easy ....I'm out of this shit niga.