Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,599
Hahaha halafu elimu wamepewa bure na kazi wanataka wapewe tu!Kwanza Inatakiwa Tuwaulize Wanasoma Ili Waje Wafanye Nini! Utasikia Mimi Nasoma Niwe Fulani Niwe Na Nyumba Nzuri Gari N.k Kiurahisi Tu Namna Hiyo Kuna Haja Wizara Ya Elimu Ibadilishe Mfumo Wa Ufundishaji Badala Ya Mtu Kufundisha Kutegemea Ajira Afundishe Namna Ya Kuja Kupambana Na Hali Halisi Ya Maisha Ukienda Japan Unakuta Njemba Ina Digree Ni Dereva Siyo Kwamba Ajira Hakuna Ila Waliandaliwa Kiuhalisia Siyo Kumezeshwa Ujinga Ukija Mtaani Hali Tofauti Halafu Wasomi Wetu Mnalilia Ajira Je Wenzetu Ambao Hawakusoma Wafanye Nini? Njooni Tuungane Hamkutoka Mbinguni Bali Ni Huku Huku Mtaani Na Hali Halisi Mnaijua Ila Mashauzi Ndiyo Yamewazidi Kwa Kujifanya Ndiyo Kundi Maalum
Hahaha hata kama imeanza saa hii ukisoma bure hakuna ajira! Ulipwe kwa lipi?!Kwan elimu bure imeanza lini. Ukijua elimu bure imeanza lin hutasema kuhusu wao kulilia ajira
Wanaolalamikia ajira ni ambao hawakunufaika kabsa na hii elimu bure. Mi naona ili mada iwe na mashiko kidogo ungesema nin kifanyike katka mitaala ya elimu yetu nchin ili kuondokana na fikra ya mtu kuwaza kuajiria pindi amalizapo elimu yake.Hahaha hata kama imeanza saa hii ukisoma bure hakuna ajira! Ulipwe kwa lipi?!
Hahaha kwani kuna mtu analazimishwa kusoma?! Kama kuna ulazima huo mbona wapo wengi hawajasoma?! Wakasomee hata ufundi saa waache kung'ang'ania PhD zisizo wasaidia kitu?! Veta kuko wazi wao wamejazana huko vyuo vikuu, halafu wanataka ajira ebo!Wanaolalamikia ajira ni ambao hawakunufaika kabsa na hii elimu bure. Mi naona ili mada iwe na mashiko kidogo ungesema nin kifanyike katka mitaala ya elimu yetu nchin ili kuondokana na fikra ya mtu kuwaza kuajiria pindi amalizapo elimu yake.
Hahaha wasidai kazi, yeye anasema walalembeleHakuna kitu cha bure chenye thamani