Kama Confederetion Cup imefutwa, je yanga watatambia nini medali zao?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,302
3,979
Nimekuwa nikiwasikia mashabiki wa yanga walivyokaririshwa eti Simba hajawahi kufika fainali ya CAF kwa vile kikombe alichofika fainali kiliitwa Abiola Cup. Ni sawa na mtu asema kombe halikuwa la shirikisho bali Azam Confederation cup.

Sasa hata mashindano ya kombe la CAF,yamefutwa na vizazi vijavyo havitayashuhudia.Je yanga atawaambia nini watu kuwa ana medali za mashindano ambayo hayapo?

Kama Simba alimtangulia kufika fainali na wanajifanya hawaelewi, basi nadhani hata hizi medali zao wazisahau hazitakuwa na maana.

Pia Soma:
- CAF Confederation cup yafutwa msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu
 
Ila mwamba sometimes huwa akili yako inahamia kalioni kinoma yaani.

Huwa una pumba za hatari!

Sio nyie mliokuwa mnasema mlifika fainali hili kombe 1993 na mnajisifu kabisa baada ya Yanga kuingia fainali mwaka jana?

Sio nyie mliopania hadi mkachoma makapeti ya viwanja vya watu South Africa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom