Kali katika michezo

Mishumari

New Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Najua kwa wana JF msaada nimepata, jamani mchezaji akifunga magori matatu inaitwa 'hat trick' na anapewa mpira anaondoka nao je hayo magori matatu akijifunga inakuwaje? bado itaitwa hat trick na mpira atabeba?
 
Hawezi kupewa mpira kwa sababu kwa bahati mbaya amefunga upande ambao si sahihi. Goli la kujifungwa(own goal) halihesabiwi kama goli la kufunga. Anayejifunga hutajwa kwa sababu ya kuweka rekodi sawasawa tu. Mpira ukivuka kwenye mstari wa goli na kuwa goli, basi hilo goli lazima lihesabiwa regardless nani aliyelifunga.

from wikipedia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…