Kakobe amshauri Magufuli akutane na wapinzani. Yeye ajibu anaogopa kukatwa/kuchinjwa!!

Atakutana nao tu miaka 5, inaelekea kuisha na hapo lazima akae na wenzie wa upande wa 2 ili kutengeneza siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Je, ni kweli wapinzani wametishia KUMKATAKATA?

..kama ni kweli wamechukuliwa hatua gani, au kwanini hawajachukuliwa hatua?

..kama siyo kweli, kwanini Raisi amesema hivyo? kwa manufaa gani?
Nahisi ni siasa zetu au zile message tunazotumiana bila kujua boss anaziona. Anachukuliaje ni personal issue.
 
..Je, ni kweli wapinzani wametishia KUMKATAKATA?

..kama ni kweli wamechukuliwa hatua gani, au kwanini hawajachukuliwa hatua?

..kama siyo kweli, kwanini Raisi amesema hivyo? kwa manufaa gani?
Bila polisi jiwebni muoga sana !
 
..Je, ni kweli wapinzani wametishia KUMKATAKATA?

..kama ni kweli wamechukuliwa hatua gani, au kwanini hawajachukuliwa hatua?

..kama siyo kweli, kwanini Raisi amesema hivyo? kwa manufaa gani?
Magufuli amekuwa muongo muongo sana siku hizi sijui nini tatizo!

Magufuli hajawahi kuwa kiongozi mzuri wa kuunganisha taifa kuwa taifa moja lenye amani na upendo kwa wote

Kikwete pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa angalau anatambua kuwa wapinzani nao ni Watanzania wana haki sawa kama makundi mengine ya kijamii

Siku Magufuli akiwa mzalendo kwa nchi yake ataanza kujua kama yeye ni rais wa Watanzania wote bila kujali kama wanampinga kwa Sera zake za hovyo

2020 John Walker out
 
sometime jamaa anajibu kiutani.kumuelewa ni kazi.kama alivyosema alitamani kumbambia mke wa waziri mkuu.akaogopa maana majaliwa ana wivu mno hahaha

..basi IKULU wafafanue.

..Raisi ni taswira ya nchi yetu, na anasikilizwa na watu wengi.

..siyo vizuri kutoa tuhuma kubwa kiasi hicho halafu watu wakaona ni jambo la kawaida au utani.
 
sometime jamaa anajibu kiutani.kumuelewa ni kazi.kama alivyosema alitamani kumbambia mke wa waziri mkuu.akaogopa maana majaliwa ana wivu mno hahaha
Yule hajui hata utani kile anachokisema ndicho humaanisha, ila ninyi wasifiaji wake mmekuwa vipofu mno kwake kila akivurunda mnakuja kumlisha maneno ya kusahihisha kauli zake

2020 John Walker out
 
Magufuli damu za watu zinamtokea puani utawala wake umekuwa wa kumwaga sana damu anaogopa naye atakatwakatwa au Naye akatupiwe chatu dah Magufuli ni sumu ya umoja wakitaifa
Anaongea uongo wa kiwango cha kipuuzi kabisa huyu Mtu ni hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…