H Haulicious Member Joined Sep 8, 2014 Posts 7 Reaction score 2 Sep 11, 2014 #41 jembe afrika said: aiseee nyie wanawake njoon mtoe maelezo Click to expand... jembe umetishaaaa
illuh JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,254 Reaction score 700 Sep 11, 2014 #42 hahahahah eeeeehhh mwanaume atatafuta kwa jasho ili alishe familia, mwanamke atazaa kwa uchungu KakaKiiza said: Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri? Wakati wewe unafanya kazi, nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana? Nawaombeni mnijulishe tatizo linatokea wapi? Click to expand...
hahahahah eeeeehhh mwanaume atatafuta kwa jasho ili alishe familia, mwanamke atazaa kwa uchungu KakaKiiza said: Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri? Wakati wewe unafanya kazi, nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana? Nawaombeni mnijulishe tatizo linatokea wapi? Click to expand...
naan ngik-kundie JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 1,766 Reaction score 2,435 Sep 11, 2014 #43 jembe afrika said: aiseee nyie wanawake njoon mtoe maelezo Click to expand... hawapo...
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,062 Reaction score 3,620 Sep 11, 2014 #44 Kongosho said: ndo utajua kwa nini meno yanatafuna lakini ulimi ndo unasikia utamu lazima utoe hela. Ni mwiko kugonga free. Ni kama kuchovya ugali kwenye maziwa ya mgando nyumbani kwa mfugaji. Click to expand... NI mwiko kumuhonga demu akitaka anihonge yeye...utamu ninaopata mimi ndio utamu anaopata yeye-Azma msanii wa HIP HOP
Kongosho said: ndo utajua kwa nini meno yanatafuna lakini ulimi ndo unasikia utamu lazima utoe hela. Ni mwiko kugonga free. Ni kama kuchovya ugali kwenye maziwa ya mgando nyumbani kwa mfugaji. Click to expand... NI mwiko kumuhonga demu akitaka anihonge yeye...utamu ninaopata mimi ndio utamu anaopata yeye-Azma msanii wa HIP HOP
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Sep 11, 2014 #45 Haulicious said: jembe umetishaaaa Click to expand... hahahahaaaaa .....loading error.......
illuh JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,254 Reaction score 700 Sep 11, 2014 #46 Na nyie pia ni rahisi ....Kwani sisi si ndio tunawashawishi nyie mnaingia mkenge...Mkionyeshwa paja au chuchu tuu mmeingia mkenge....Nyie wanaume mnajiachia achia sana wa siku hizi...Zipu waaaaahhh Sumba-Wanga said: This is not good spirit. Ndio maana wanawake ni rahisi kuwa abusive kwa ajili ya hii dependence. Click to expand...
Na nyie pia ni rahisi ....Kwani sisi si ndio tunawashawishi nyie mnaingia mkenge...Mkionyeshwa paja au chuchu tuu mmeingia mkenge....Nyie wanaume mnajiachia achia sana wa siku hizi...Zipu waaaaahhh Sumba-Wanga said: This is not good spirit. Ndio maana wanawake ni rahisi kuwa abusive kwa ajili ya hii dependence. Click to expand...
KEANU REEVES Member Joined Sep 8, 2014 Posts 29 Reaction score 28 Sep 11, 2014 #47 Nothing for free au sio...wanawake hurumieni sisi