kaka hajatuachia cha kumkumbuka.


Hata Kutoacha Mtoto Ni Kumbukumbu Bora...
Mtaendelea Mkumbuka Kwa Kutoacha Kumbukumbu..
Angeacha Kumbukumbu Basi Mngemkumbuka Kwa Kuacha Kumbukumbu.....Kama Hiyo Uliyoitamani Aiche Ya Mtoto...
​
 
Pole....
 
Amewaachia Mali, Kataa Ndoa wanakuwaga matajiri
 
Bora angeacha pesa sio mtoto abaki kuteseka
 
amgeachha huyo mtoto mngeanza kumuona mzigo wa kutupiana
 
Poleni sana ndugu yangu, mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema.

Naam kabisa hakuja bure kwenye ulimwengu huu na wala hakuondoka bure, kuna kitu kilifanyika kupitia yeye chenye manufaa sana hata kama nyie ndugu hamkukishuhudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…