Unadhani hakushiriki? Kashiriki katolewa, hayo mashindano ni sawa sawa na CRDB federation cup kwa huku kwetu sio Bonanza hilo. Bingwa anaenda kucheza kombe la shirikisho CAFNilitaka kushangaa mamelodi alikuwa wapi[emoji38]
Na wala sio kazi yako kujua hayo, we kuna nazi umpikie mumeAsante sana kwa jibu zuri.....sikua najua hilo
Au unataka unisaidie kumkunia?Na wala sio kazi yako kujua hayo, we kuna nazi umpikie mume
sawa na LA crdbNdo kombe gani?.