Kahaba Aliyekubuhu!

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Pengine mimi ndiye sielewi,

Kahaba aliyekubuhu huyu ni mtu wa aina gani? je ni mwanamke au vile vile hata mwanaume?

Sifa zao ni zipi? je ni malaya aliyepanda hatua hadi kufikia kahaba? au vp? hapa Tanzania tunao hawa watu?
 
...ukizini tu' wewe ni kahaba!
...ukifanya usherati tu' wewe ni kahaba!
...ukikubali kutongozwa au kutongoza ili ufanye ngono' huo ni ukahaba...
 
Hebu fanya utafiti kule bongo movie labda unaweza pata majibu.
 
nenda Buguruni ,
Kona Bar
utakutana nao then fanya utafiti wako utatuletea hapa majibu
 
ungechukua Kamusi ya Kiswahili maana humu (katika kila computer yenye Word) ipo Dictionary
Kahaba ni Mwanaume asiyeridhika na mwanamke mmoja au wanawake
(atazunguka mabucha yote nyama ni ileile)
naona umeridhika au ulitaka nianze na mwanamke? bila ya wao kutongozwa hakuna malaya
 
Kahaba ni mu anayegawa kipochi manyoya, kwani na wanamme wana kipochi mamnyoya?
 
KAHABA MTU YOYOTE ALIYEKUBUHU KWENYE,,,,,,,,,:disapointed:
 
Pengine mimi ndiye sielewi,

Kahaba aliyekubuhu huyu ni mtu wa aina gani? je ni mwanamke au vile vile hata mwanaume?

Sifa zao ni zipi? je ni malaya aliyepanda hatua hadi kufikia kahaba? au vp? hapa Tanzania tunao hawa watu?

Kahaba ni mwanamke, alie danganywa kipesa au alilazimishwa kutoa mapenzi na mtu wa karibu na familia yake ujanani, hakuweza kujiami, labda baba yake, mjomba wake au shemeji yake, yaani karibiwa ila yeye mwenyewe hajui kama karibika anaona kawaida.

Kahaba anaweza kua na mabwana wengi sana, 20 au zaidi, na hasa wanaume wa watu, ili apate pesa zimsaidie kimaisha, kuolewa haipo kichwani.
Akifanya hivo miaka 10 au zaidi anakua kakubuhu, au phd.

Kahaba haokoti mwanaume yeyote yule kama changudoa. Kahaba anachagua wanaume, wanaume wazuri na wenye pesa, na walio oa, wanaume wa mtaa mzima wanaweza kua wake na wasijuane. Kahaba hawapendi wanaume single, kahaba alie kubuhu wanaume zake wazee wenye pesa. Kahaba ni hatari sana, kahaba anaweza kufanya mapenzi na baba yake ili amlisishe mali, shemeji yake ili amnunulie nyumba, na vile vile ana mabwana zaidi ya 20 wanao mpa vitu vingine.

Kuna tofauti kati ya malaya, changudoa na kahaba.

Malaya ni mtu anaependa kufanya mapenzi na wengi kwa mapenzi yake mwenyewe au kugeza wengine, kwa malipo au bila malipo. Anaweza kua malaya leo kesho akabadilika, ila kahaba habadiliki. Kama jini, ni kumfukuza tu akafanyie huko.

Changudoa, alie shawishiwa na marafiki, au kulazimishwa au kutaka utajiri kirahisi kama wauza madawa ya kulevya. Hawa mara nyingi wanauana wenyewe kwa wenyewe kama mafia, wanakufa mapema hivo hawafiki kukubuhu kama kahaba. Changudoa aliehu sijasikia.

Changudoa hafanyi mapenzi na jamaa yake kama kahaba, tena anafanyia uchangudoa wake mbali na nyumbani ili hasijulikane, lakini kahaba jamaa zake wote wanajua kazi yake na kumlaani pia. Changudoa yupo sensitive tena lakini kahaba yupo safe ana full controll.

Changudoa ni kama jambazi, mafia muuza madawa ya kulevya. Uana wenyewe kwa wenyewe.
Malaya ni kama kibaka
Kahaba ni kama mwizi mwenye elim ya upolisi mpelelezi.
 
kahaba ni mwanamume/mwanamke anayechukua mwanamke/mwanamume zaidi ya mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…