Mkuu mikono ya mchezaji ingekuwa mahali pake pa siku zote (normal position) ningekubaliana na wewe kwamba mpira ulifuata mikono lakini sasa mikono haikuwa kwenye position yake ya kawaida,
Mkuu unataka kusema nini sasa hapa? hivi unaweza kulala kifudi fudi uwanjani? na kama ikitokea umelala kifudi fudi ni wazi mikono haiwezi kuelekea juu katika hali ya kawaida, ama itasupport uso(kichwa) au itabakia sambamba na mwili huku ikiwa imenyoka ama itaelekea mbele na kuwa sambamba na kichwa.