Kagame's true colors!

The previous interview of this guy is with BBC Swahili. Sad story!
 
Hizo ndio zake huyo dogo kama aliweza kufika south africa kumfuata faustine kayumba nyamwasa ije kuwa hapo kampala tu?
 
Don't defend the so called Kagame, yes it has been reported in reputable Radio stations include BBC. What I can see right now, is a heavy battle in East DRC between M23 which is backed by Kagame and UN intervention brigade as well as DRC National forces. The war would end by kagame tremendous suffer both economically by waging the war to m23 and loss of lives (Rwandan Soldiers)
 
Am seeing a heated debate between Jokakuu kuu and Murutongore what is the matter ? I suspect Jk is a tz and Muru a Rwandan ? Me Mhangaza wana.niiita eti Mnyarwanda au Mrundi. Jk mtu aliyeua watoto wako wote na wazazi wako na mke wako unaweza kujadiliana naye amani kama bado anakukimbia na anakutafuta kukumaliza ? Just curious !
 

Nakichukia sana kikagame
 

pole sana, hata hitler aliua mamilioni ya wayahudi kwa masaa 24 tu! Wewe naona umepofuka kwa maovu ya kagame na watusi kwa ujumla! Siku na wewe utakapochapishwa mwendo rwanda ndiyo utaanza kulia kama wakimbizi wengine wa kinyarwanda wanavyohangaika kama kuku.
 
hao wahamiaji haramu wamerudi wote sio? Sasa tuone kama hizo kero mtazitatua. Tuone kama hao majambazi wataacha ku terrorize wananchi. I give you 3 months halafu tukutane hapa utaniambia
Uhamiaji hebu njoeni hapa, lipo moja hapa bado halijaondoka! Sijui yanang'ang'ania nini huku?
 
Kama ndivyo PK alivyo, kwa nini aliposhauriwa ana kwa ana na Rais Kikwete kule Addis Ababa kuwa azungumze na FDLR, hakumjibu mbele ya macho yake na badala yake akaenda kuongelea nchini kwake? He is just another coward.
 
..but that is a heaven to a lot of Rwandese.

..ndiyo maana hamuishi kuvamia huku kama wahamiaji haramu.

Nimeipenda hii mkuu. Wahamiaji haramu hao na ming'ombe yao bado wapo. Cha ajabu kuna officials ambao ni corrupt kama Mkuu wa wilaya Kasulu Dan Makanga anawaficha kwenye hifadhi ya Moyowosi kwa kudaganya kuwa ni wasukuma wakati ni hao banyamulenge. Kwa kweli kama serikali inasikia ifanye msako Kasulu kwani wako wengi na mifugo yao. Hawataki kutoka kwani wamesha hakikishiwa hawatafukuzwa na mkuu wa wilaya.
 
Uhamiaji hebu njoeni hapa, lipo moja hapa bado halijaondoka! Sijui yanang'ang'ania nini huku?

Hayajaisha baadhi yamehifadhiwa na mkuu wa wilaya Kasulu yanakuwa yanampelekea rushwa periodically. Yaani kwa kweli nchi hii watu wengine siyo wazalendo.
 
Yaleyale tu mkuu, usihangaike nalo litakupotezea muda bure! Sijui Tanzania kuna nini, hayataki kurudi!
 

Ar u serious?
 

Alekuroga alishakufa njoo uombewe upya mapepo yakutoke maana hii comment siyo ya mtu mzima ni ya msukule
 
hizi comedy zako na zile za uharo uliopata kule air "RWANDA" naona zinatosha kabisa kumfikisha kagame ICC
 
Kagame nae kumbe ana watu wake wa kungoa Meno na kucha kwa Playa!!! ndio maana hawawezi kupeana ushauri hawa watu... na kwakuwa kagame ana akili nyingi hawezi pewa ushauri na aliyechini yake kielimu....
 
alekuroga alishakufa njoo uombewe upya mapepo yakutoke maana hii comment siyo ya mtu mzima ni ya msukule

ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, ni mtu tegemeo rwanda huyo mkuu, kweli ni majanga!
 
Kama ni mhangaza mwenye asili ya kitutsi ndo nyie nyie, ndio wale wale. Mambo yenu na wanyarwanda na warundi (wenye asili ya kitutsi) ni sawa sawa; mna ROHO MBAYA SANA, za KISHETANI HASWA! Hivi nyie mbona mliwauwa wahutu wengi tu? Au wao ndio walikuwa na haki ya kuuawa kwa sababu nyie mwawaona kama sio watu vile? SIUNGI MKONO MAUAJI, lakini msijadai kuwa nyie ni wasafi. Hayo mauaji mlisababisha nyie wenyewe. Ila MUNGU atawahukumu kwa wakati wake!... You can fool people at one time but you cant fool them all the time....
 
Worry not he is in his last days ndiyo maana kila kitu sasa kipo wazi.Zamani kila mtu utaskia oooh nenda Rwanda utaona nchi ilivoendelea oooh rais kijana kama Kagame sasa hakuna anaemtamani tena ameshaukuwa ---- tu na mwisho wake upo karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…