duuh nilikuwa na safari ya Accra kupitia Kigal na Rwandair sasa naenda kubadilisha hawa wanyarwanda si watu
alishawahi kusema ukienda kinyume na wanyarwanda you'll suffer the consequences.
Mkuu hebu edit hiyo headline kwenye neno "kuzuru" nadhani neno sahihi ni "kudhuru". Unatukanganya...
Mkuu hebu edit hiyo headline kwenye neno "kuzuru" nadhani neno sahihi ni "kudhuru". Unatukanganya...
Cha umuhimu kuelewa wewe b.w.e.g.e
We punga unataka kupepetwa?
Mods mpigeno ban anatukana huyu
his days are counterbility . Always worry often gives a small thing a big shadow.
translation: I will kill ALL credible opposition!