Kagame Killed, Kills and will continue to Kill if not stopped

Huyu unaemuitaga mkatoliki,
Umesahau kuongeza Lile neno analolitumiaga Mh.Lisu..

= unaemuita
= analotumia

Sulijuwi hilo neno la Lissu, kuwa muwazi tu liseme.
 
nikimkumbuka Karegeya na Kayumba Nyamwasa naona ukatili wa huyu jamaa
 
Tanzania ndiyo nchi pekee inayoweza kumtoa madarakani Kagame na kuweka rais atakayechaguliwa ki demokrasia. Tulimtoa Idd amin ijekuwa huyu kijana tuliyempigisha kwata sisi wenyewe.....
 
Rafiki mkubwa wa mwenyekiti wa chama chako what do you expect
 
faizafoxy kujadili siasa za pombe kumemshinda kaamua kuhamia kwa paul kagame.
 


FaizaFoxy kwa mara nyingine tena nimekukubali japo nilikuwa nakupinga huko nyuma (yaani siku za nyuma). Kwa kweli huyu jamaa ni kinyesi na hapaswi kuishi....I agree with your assessment 100%.
 
Inapendeza
 
Baada ya kutembelea Rwanda na Burundi mara nyingi nafiki PK is the best political solution kwenye jamii hizo mbili. Na tujaribu kuangalia "deliverables", PEACE, SECURITY AND PROSPERITY. Rwanda hivi vyote vipo.
Vipo in nominal terms not real
 
Tazama tarehe ya huu uzi. Kisha rudi uandike upya.
tarehe sio shida,
la msingi ni kwamba thread bado ina-trend mpaka leo na wewe mwenyewe uliyeiweka bado unashiriki kikamilifu kuchangia.
 
tarehe sio shida,
la msingi ni kwamba thread bado ina-trend mpaka leo na wewe mwenyewe uliyeiweka bado unashiriki kikamilifu kuchangia.

Sasa kajisome upya comment yako. Tarehe hiyo kuliwa kuna siasa za Pombe?
 
TUSISEME MENGI KAGAME NDO KAMPANDIKIZA MUSEVEN UGANDA NA HAPA KWETU HUYU MKUU WETU NINA WASWAS SANA KUNA UWEZEKANO HUO
 
TUSISEME MENGI KAGAME NDO KAMPANDIKIZA MUSEVEN UGANDA NA HAPA KWETU HUYU MKUU WETU NINA WASWAS SANA KUNA UWEZEKANO HUO
1. Museveni ndio kampandikiza Kagame Rwanda
2. kagame hana uwezo wa kupandikiza kiongozi hapa kwetu, labda kwa mbali anaweza DRC, ila kwa urafiki walionao inawezekana anampa tuition ya mambo fulani fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…