kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Hujui hata unenalo. Unachoandika umesikia kwenye cnn, bbc, aljazeera, na vyombo vingine vya habari vya magharibi. Ndiyo maana nakusamehe kwa kuandika upupu mtupu huu.Wakuu hakuna rais muuwaji wa demokrasia kama Kagame tv 1 tu ya serkali wapinzani wanauwawa kimyakimya na ukiandika tofauti na anavyotaka umekwenda na maji. Kaua wengi na anaendelea.
kakorofishana na akina Kayumba, Rudasingwa, Karejea, Rudasingwa wote hao ni ma general walio chukua nchi. Yeye alituma wa2 kumuua Kayumba South Africa, ikashindikana baada ya kumpiga.
Wana mpango kurudi kulipa kisasi vita kubwa inanuka Rwanda. Hii sio ya ukabila tena bali ya ndugu walio lala pango moja wakati wa mapinduzi leo wamekua maadui wakuu.
Na mbaya zaidi major general Kayumba anakubalika sana jeshini ya Kagame. Mtoa mada humjui Kagame na nenda Kigali uone watu walivyo waoga. Hakuna jf kule.
Ukijaribu tu umekwenda na maji. Kajamaa ni kama Hitla kana ua watu usiku na mchana.
nchi ya rwanda kama wilaya ya kinondoni hata chizi wa mirembe anaweza iongoza
kagame ni noma alisema akipewa bandar atailisha tanzania huyu jamaa ni noma na mimi nina mpango wa kwenda kwa kagame niangaike na ujuzi wangu nilionao najua naweza kupata pesa
nchi ya rwanda kama wilaya ya kinondoni hata chizi wa mirembe anaweza iongoza
Du kuna watu wana mawazo tofauti...... yaani Kagame mnamuona ndiye baba wa ea wakati anatisha watu wa nchi yake..... muuaji yule.... anafanya nchi isiwe mahali salama kwa watu wenye mawazo mbadala.... anawaua..... na ndiyo maana ana mpango wa kutawala rwanda milele kama shemeji yake m7.... maana akiachia tu madaraka..... watamng'ang'ania kama mpira wa penalty iliyotemwa na kipa.
Kuna vugu vugu la chini kwa chini....
Jamani swala la rwanda only god knows! Wanyarwanda Ni waoga sana hata kuiba, kupigana co swala dogo kwao wanamuogopa km sumu ya python na Ukionekana uko against hm unapotezwa mara 1!
Wakuu hakuna rais muuwaji wa demokrasia kama Kagame tv 1 tu ya serkali wapinzani wanauwawa kimyakimya na ukiandika tofauti na anavyotaka umekwenda na maji. Kaua wengi na anaendelea.
kakorofishana na akina Kayumba, Rudasingwa, Karejea, Rudasingwa wote hao ni ma general walio chukua nchi. Yeye alituma wa2 kumuua Kayumba South Africa, ikashindikana baada ya kumpiga.
Wana mpango kurudi kulipa kisasi vita kubwa inanuka Rwanda. Hii sio ya ukabila tena bali ya ndugu walio lala pango moja wakati wa mapinduzi leo wamekua maadui wakuu.
Na mbaya zaidi major general Kayumba anakubalika sana jeshini ya Kagame. Mtoa mada humjui Kagame na nenda Kigali uone watu walivyo waoga. Hakuna jf kule.
Ukijaribu tu umekwenda na maji. Kajamaa ni kama Hitla kana ua watu usiku na mchana.
Hizi ni dalili za waTanzania kuanza kupoteza mwelekeo wa utaifa....