kuna watu wake anawatafuta kule congo ndio maana anang'angá nia kuwasaidia. wahutu walioua watusi wengi bado wapo kuwa wanalo jeshi na huwa wanajaribu kufanya njama kumpindua. yeye hutumia waasi wa congo kuwasambaratisha hao wahutu banyamulenge. usifikiri hana akili, kuna sababu ndio maana anafanya hivyo. wala usimnyoshee kidole kwa kupenda sifa.