DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,308
- 5,025
We utakuwa umelewa.Hivi wewe ni mdada, shoga au kidume?
Unapenda sana matusi ya anal
Jaribu 😁😁Nasubiri wafungua code hii nimeishindwa 😁
Jibu swaliWe utakuwa umelewa.
Ndio maana anadai jina la mtu mwingine kuwa ni sawa na lakeAlinieleza yeye ana CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES na amesomea chuo cha Amazon College.
KE.Jibu swali
Jinsia yako ni ipi ?
Mbamizwa Tukuyu 🥺💔Mbamizwa katumeni cc kichaa wa mbande mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Unasemaje mbamizwa katumeni, nipo kwenye Sala na maombiMbamizwa Tukuyu 🥺💔
Hivi huyo jamaa ana familia au yeye siku zote ni kububujikwa tuHakika inastaajabisha!
Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu.
Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada kindakindaki ambao wako tayari kuvishwa hata sketi kwa ajili ya kukitetea chama chao.
Alinisimulia mengi sana, ni mtu wa hisia kali, anabubujikwa na machozi wakati wote. Basi tena, nikaanza kumsihi kizungu huku nampangusa makamasi ya uchungu yaliyochangamana na furaha.
Alinieleza yeye ana CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES na amesomea chuo cha Amazon College.
Ukikata kushoto unaingia kulia utaona chuo kina bati la rangi ya kijani ndo hapo. Nyuma ya stendi.
Huyu ni kada wa mfano ambaye ni miongoni mwa wasomi wabobezi katika nchi hii.
Sisi sote tuige mfano wake.
Mbona ueleweki!!Hakika inastaajabisha!

TukuyuMbamizwa katumeni cc kichaa wa mbande mbamizwa kobaa cc Poor Brain