kabyemela ndani ya muleba

mwibanchani

Member
Joined
May 5, 2012
Posts
9
Reaction score
0
KABYEMELA alipopata pesa aliamua kuondoka BUKOBA alikuja DAR kumtembelea ndugu yake anaye fanya kazi katika jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani(trafic) KOPRO BASHAIJA siku moja aliamua kumtembelea mwenyeji wake ofisin wakashindwa kuongea kutokana na wingi wa magari barabarani akakosa wakukaa nae nyumbani upweke ukamuondoa DAR nakumrudisha MULEBA alipofika akawaita akina kato,magezi,mama koku na nyamwiza akaanza kusimulia😱mwana wange ngemela oooh bashaija aaaaashomire kweri agambire magari gastop gastop agambire magari gagende gagenda ooh...yaani (bashaija amesoma sana akisema magari ya simame yanasimama akisema yaende yanaenda)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…