Dah nakumbuka sana ile pigo takatifu la Kwei Koubash!!!
Na yule mchumba wake pikipiki ya BMW akiwa na mshenga Magnum 537.
Nilisoma hivi vitabu na vingine zamani sana.
Hivi kuna kile kitabu kiitwacho Kisiki ambapo kuna karakta mmojawapo mzungu aitwaye rolland na wengineo..... ambacho kilitolewa only fisrt release kikaishia patamu halafu wakasema kitaendelea then sikukiona since leo.
Mkuu unanikumbusha mbali kweli, enzi za unga wa yanga