Ni Kaburi liliojengwa kwa kulipua lipua la Muasisi mmoja maarufu huko kusini mwa Tanzania.
Na waliolijenga kukimbia moja kwa moja na kulitelekeza na kuwaachia kitendendawili ndugu na jamaa ambao sasa wana kazi ya kujenga kaburi linguine mbadala...kaburi hilo lilijengwa mwaka 2005 na ccm na serekali yake