Kabuli na Ivan kufukuliwa,yaelezwa ni kutaka kuhakikisha kama ni kweli kafa?

Hizi mbwembwe tu mahakama imeshasema kaburi lifukuliwe pesa zilizomo zitolewe haya mengine nikuchoshana tu kumbe ata Ug nako no michosho ivi du
 
Ivan ni mtoto mdogo sana kufa kwa "heart attack"; gonjwa la watu wazima. Kuna mawili; ama yuko hai au ni kweli kafa but purposely. Genge lao walikuwa wanajiita "the Rich Gang".
 
Ivan ni mtoto mdogo sana kufa kwa "heart attack"; gonjwa la watu wazima. Kuna mawili; ama yuko hai au ni kweli kafa but purposely. Genge lao walikuwa wanajiita "the Rich Gang".
Nonsense. What has age got to do with heart attach?
 
Inamaana tuliofiwaga hatukulia tulie sasaivi. Advance uelewa wako.
 
Hii issue itatikisa chi ya uganda kwa kweli inawezekana kuna ukweli hata body language ya zari akiongea inaonyesha kuna ukweli anaficha
 
Inamaana tuliofiwaga hatukulia tulie sasaivi. Advance uelewa wako.
labda sina uelewa unajuwa tena sisi watu wa vyeti fake, lazima ujuwe asilimia kubwa ya watu wepesi kulia lakini kuna watu wanaumia lakini ni wagumu kulia huwezi kuona hadharani wakilia lakini ni wachache sasa wewe unaweza kuwa kati ya hao ila kwa watoto watalia tu ukichukulia wale walikuwa wanaishi na baba yao muda mwingi na sio kwa ku act kulia ni natural kunakuja kwa uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…