kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Zenji mtoto wa kiume analindwa kuliko wa kike, akizembea kdogo tu anafumuliwa marinda. Wavaa kobaz noma sanaKwanini mashoga mnapenda kusema uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zenji mtoto wa kiume analindwa kuliko wa kike, akizembea kdogo tu anafumuliwa marinda. Wavaa kobaz noma sanaKwanini mashoga mnapenda kusema uongo
Kumbe ni bwabwa?Huyo ni shoga mkuu.....kanifata pm anataka nimdunkule nimemtoa baru
Eti rahis tuu wakitaka watu mnaongea kama mnakunya yaani. Manachukulia mambo kirahisi rahisi sanaTatizo lako unawachukulia Taleban kama vilaza fulani hivi. Kwa taarifa yako tu neno Taleban maana yake ni wanafunzi na Taleban iliundwa na vijana wasomi wenye ari ya kujifunza ili kupambana pamoja na Mujahiddin wengine dhidi ya majeshi ya Urusi yaliyoivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka kumi kuanzia 1979 hadi 1989 kabla ya kushindwa vita na kuondoka kwa aibu. Hao jamaa wana elimu nyingi kuhusu silaha maana hata bunduki wanazotumia nyingi wanatengeneza wenyewe. Pia, wanapata msaada kutoka Iran, Russia, China, Qatar na mataifa mengine ya Kiarabu. Kwahiyo kukarabati hizo ndege ni rahisi tu wakitaka.
Huu mtanange naufuatilia kwa karibu saaana. Mkuu usimkubalie huyo bwabwa. Endelea kumkatalia hivyo hivyoWw bana bado unang'ang'ania tu nikuwashe kimoja......katafute mabasha pande zingine nimeshakwambia mm situmii marinda
Huu uzi ni wa moto sana wazee wa surwale fupi wanambwela tuMpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu wewe
Eti rahis tuu wakitaka watu mnaongea kama mnakunya yaani. Manachukulia mambo kirahisi rahisi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu wewe
@secret file mkuu kuna mchicha mwiba mwingine huku.Povu lazima likutoke kwani unaowaabudu wameshindwa vita Afghanistan na wameondoka kwa aibu. Nyie vibaraka huku mmebaki kutukana tu na kutokwa povu. Aibu yenu.
Wewe ndiye uliyeanza matusi. Ungejibu kistaarabu yasingekukuta hayo. Mimi sijakutukana bali nimenukuu ulichokisema nikakinasibisha na wewe. Vita ashindwe Mmarekani matusi utukane wewe! Mambo ya ajabu haya.
Una mume mwarabu ?View attachment 1926471
mzungu kavaa hijabu ndani ya Kabul.
yuko ugenini, shenz type.
sehemu kama hiyo mzungu hawezi kusema anataka kuwaletea ushoga. Au chanjo. Au hizi mbegu za GMO mnasema miche ya kisasa. Au alama za vidole. Kwa msiojua, kusajili kila Mtanzania kwa alama za vidole lilikuwa ni shinikizo la Mmarekani, na gharama zake.
hapa kwetu ukisema beberu hawezi kutulazimisha anayoyataka yeye, unaambiwa wewe huwezi kutengeneza hata kiberiti, lazima uwe kidampa kwa mzungu
Jangwa la Taliban country lile wana nini wale, wanatengeneza viberiti ?
Na si Afghan tu, Uarabuni kote Mzungu akitua airport heshima mbele! Mtu anaevua viatu mlangoni kwako, au kuvua kofia, au kupandisha suruali ya kata K, ina maana anatangaza toka mlangoni atasalimu kila amri na mpango wa maisha alioukuta mule ndani mwako.
Simply because Mwarabu alishamwambia ee bana eeh, hapa kwetu sisi hatutaki ungese. Mwafrika yeye bado kikaragosi, msalie mtume.
Sawa mkuuWewe ndiye uliyeanza matusi. Ungejibu kistaarabu yasingekukuta hayo. Mimi sijakutukana bali nimenukuu ulichokisema nikakinasibisha na wewe. Vita ashindwe Mmarekani matusi utukane wewe! Mambo ya ajabu haya.