Msengi Kiula
Senior Member
- Jan 10, 2008
- 167
- 63
Hivu mahabusu wengine huwa wanarusiwa au haijawahi tokea mahabasu akafiwa na mtu wake wa karibu? Labda kwanza tujiulize hili.Huu ni unyama uliokithiri kama Mahakama Kenya inaruhusu mtuhumiwa wa mauwaji azike mmewe, kwa nini Eric Kabendera azuiwe kuzika mama yake?
Mahakama zimebakwa zinasikiza matakwa ya muhimili dora!
Waone aibu basi maana hata hayo mashitaka mahakama zichambue sio kumeza na mifupa ili haki za watu zilindwe.
Kuna uwezekano hakuna mahabusi aliewai kuomba au kutaka hii haki yake itimizwe. Kutokuwepo watu wa hivyo aimanishi kua huyu asipewe hiyo haki.Hivu mahabusu wengine huwa wanarusiwa au haijawahi tokea mahabasu akafiwa na mtu wake wa karibu? Labda kwanza tujiulize hili.
Hii haki aliyonyimwa kabendera ni yeye tu au imeshawahi tokea kwa wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni special case ati!Kuna uwezekano hakuna mahabusi aliewai kuomba au kutaka hii haki yake itimizwe..Kutokuwepo watu wa hivyo aimanishi kua huyu asipewe hiyo haki
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks sir, you are always on point, you really educated people here, yes the kisutu magistrate could have looked at other rulings in commonwealth countries, like recently our neigbour kenya where just last year one sarah cohen got permission to go and burry her hubby, and mind you this sarah is suspect in the murder of the said cohen her hubby, but hapa kwetu tz sio sheria inafanya kazi, kile kinafanya kazi ni MAANGIZO TOKA JUU,Sheria inapokua "KIMYA" kuhusiana na jambo fulani, lugha ya kisheria panapokua na "LACUNA", basi mwenendo wa kimahakama hua ni "KUCHUKUA au KURITHI" maamuzi ya jambo hilo katika nchi za madola (Common Wealth Countries). Hilo swala la kurithi au kuchukua sheria kwa wenzetu lipo wazi na halipingwi.
Yaani mahakama huangalia nchi za wenzetu kama vile Kenya, Uganda, Uingereza, Australia, India katika sheria zao kama jambo hilo linaruhusiwa au haliruhusiwi. Na kama mahakama ikijithibitisha jambo hilo linaruhusiwa kwa wenzetu baada ya kuangalia "Leading Cases au Landmark Decisions" , basi hulikubali na kulithiri na linakua sheria ya kurithi sio sheria ya bungeni (Case Law).
Cha kushangaza, Hakimu Wa Mahakama Ya Kisutu baada ya kugundua sheria ipo kimya katika ruhusa ya mtuhumiwa kwenda kufanya/kuhudhuria jambo lolote (Sheria Ina Lacuna), hakutumia "BUSARA" ya kimahakama na mwenendo wa kuangalia katika nchi za mataifa ya kidola na wala hakutumia kigezo chochote kisheria (RATIO DECIDENDI) kutokuangalia "Sheria Za Kenya, Uganda, India, Uingereza na Nchi nyingine za Common Wealth".
# Mwendelezo wa "KUIBAKA" katiba na sheria nchini. katiba ya nchi mpaka sasa itakua na "MIMBA YA MIAKA MITANO" labda, baada ya kubakwa kwa muda mrefu, na pengine hata katiba itakua imeshapata "MAGONJWA YA ZINAA".
I dont blame you, I blame your inability to comprehend what is being discussed here, this discussion my sister is WAY BEYOND YOU, try other places or things to comment on, not this issue of Kabendera pls, good luckHivu mahabusu wengine huwa wanarusiwa au haijawahi tokea mahabasu akafiwa na mtu wake wa karibu? Labda kwanza tujiulize hili.
Hii haki aliyonyimwa kabendera ni yeye tu au imeshawahi tokea kwa wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
KweliSheria inapokua "KIMYA" kuhusiana na jambo fulani, lugha ya kisheria panapokua na "LACUNA", basi mwenendo wa kimahakama hua ni "KUCHUKUA au KURITHI" maamuzi ya jambo hilo katika nchi za madola (Common Wealth Countries). Hilo swala la kurithi au kuchukua sheria kwa wenzetu lipo wazi na halipingwi.
Yaani mahakama huangalia nchi za wenzetu kama vile Kenya, Uganda, Uingereza, Australia, India katika sheria zao kama jambo hilo linaruhusiwa au haliruhusiwi. Na kama mahakama ikijithibitisha jambo hilo linaruhusiwa kwa wenzetu baada ya kuangalia "Leading Cases au Landmark Decisions" , basi hulikubali na kulithiri na linakua sheria ya kurithi sio sheria ya bungeni (Case Law).
Cha kushangaza, Hakimu Wa Mahakama Ya Kisutu baada ya kugundua sheria ipo kimya katika ruhusa ya mtuhumiwa kwenda kufanya/kuhudhuria jambo lolote (Sheria Ina Lacuna), hakutumia "BUSARA" ya kimahakama na mwenendo wa kuangalia katika nchi za mataifa ya kidola na wala hakutumia kigezo chochote kisheria (RATIO DECIDENDI) kutokuangalia "Sheria Za Kenya, Uganda, India, Uingereza na Nchi nyingine za Common Wealth".
# Mwendelezo wa "KUIBAKA" katiba na sheria nchini. katiba ya nchi mpaka sasa itakua na "MIMBA YA MIAKA MITANO" labda, baada ya kubakwa kwa muda mrefu, na pengine hata katiba itakua imeshapata "MAGONJWA YA ZINAA".
Una mawazo ya kijinga. Mimi nimeuliza swali nataka kujua ungekaa kimya mwenye uelewa anijibu. Wewe unayejifanya much know huna jibu lolote la maana unadhani labda nafurahia mateso ya kabendera. You are very wrong...jibu hoja kama huwezi ondoa mihemko yako hapa.i dont blame you, i blame your inability to comprehend what is being discussed here, this discussion my sister is WAY BEYOND YOU, try other places or things to comment on, not this issue of kabendera pls, good luck
100000% your right, Sarah Wairimu Cohen ndio mshtakiwa number moja wa yale mauwaji, ila alipewa ruhusa ya kwenda kuzika mtu anaeshtakiwa kumuua (Imagine giving permission to a murder suspect to attend the burial of the person whom the same suspect is suspected to have killed). This is the rule of law worldwide, ila sio kwetu tanzania.Thanks sir, you are always on point, you really educated people here, yes the kisutu magistrate could have looked at other rulings in commonwealth countries, like recently our neigbour kenya where just last year one sarah cohen got permission to go and burry her hubby, and mind you this sarah is suspect in the murder of the said cohen her hubby, but hapa kwetu tz sio sheria inafanya kazi, kile kinafanya kazi ni MAANGIZO TOKA JUU,
Answer me in english plsUna mawazo ya kijinga. Mimi nimeuliza swali nataka kujua ungekaa kimya mwenye uelewa anijibu. Wewe unayejifanya much know huna jibu lolote la maana unadhani labda nafurahia mateso ya kabendera. You are very wrong...jibu hoja kama huwezi ondoa mihemko yako hapa.
Jibu lako la maana kwenye hii hoja liko wapi au unataka wote tulielie tu bila sababu ya msingi. Nahitaji kujua kama mahabusu huwa wanapewa haki yao ya msingi kwa mujibu wa sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinipeleka shule wewe? Basi unajiona umeyapatia maisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Duniani Kuna vituko havijawahi isha. Haya kakojoe ulale na kiingilish chako huna hata hoja [emoji57]Answer me in english pls
[emoji3][emoji3] kumbe hata UK hajafika..you know you know. In Magu"s voiceJF unaweza kupagawa Wallah [emoji1787] Mtu anataka ajibiwe kwa lugha ya Malikia ati! Kaaz kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
....πππ# Mwendelezo wa "KUIBAKA" katiba na sheria nchini. katiba ya nchi mpaka sasa itakua na "MIMBA YA MIAKA MITANO" labda, baada ya kubakwa kwa muda mrefu, na pengine hata katiba itakua imeshapata "MAGONJWA YA ZINAA".
This one is the best comment ever... there's nothing more to add...kudos kwako mkuu.Sheria inapokua "KIMYA" kuhusiana na jambo fulani, lugha ya kisheria panapokua na "LACUNA", basi mwenendo wa kimahakama hua ni "KUCHUKUA au KURITHI" maamuzi ya jambo hilo katika nchi za madola (Common Wealth Countries). Hilo swala la kurithi au kuchukua sheria kwa wenzetu lipo wazi na halipingwi.