Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Kwa nini unauza? Weka picha
Pichani??? Lipo Dar au???
maiaha ya mjini yamenishinda mkuu nataka niende zangu kijijini 1 time nikaage kwanza!
Daah umenikumbusha mahali hii maneno ya kuaga
la kichina.. au haya ya kutengenezwa na maseremala wetu
Weka picha
maiaha ya mjini yamenishinda mkuu nataka niende zangu kijijini 1 time nikaage kwanza!
ukirudi usije kudai tena
Gharama za kulisafirisha ni za kwako au za mteja?
...ila ni baya ! Kwa staili zangu lakini...
dar upo sehemu gani?