Kabadilika tabia na bado nampenda


Naomba ni ku pm kama hutajali
 
Kumwacha mtu unayempenda ni sawa na kuisikiza akili yako kuliko moyo..naanzaje kumwacha mtu kwa tabia ambayo pia inaweza kubadilishwa

Good luck kaka ila ujue kwa mazingira kama hayo mwenzako kesha pata mtu ww umekuwa plan B
 
Anakujengea mazingira ya kuachana, hakuna cha zaidi.
 
Na ujuaji wako wote hilo limekushinda?
Sasa hizo picha utawarushia wangapi!! Subiri ukue dogo mapenzi yapo tu usiyaharakie.
 
Na ujuaji wako wote hilo limekushinda?
Sasa hizo picha utawarushia wangapi!! Subiri ukue dogo mapenzi yapo tu usiyaharakie.

Kwa maisha haya mapenzi usipoya enjoy utotoni/ujanani utakuja kuya anza umekuwa mkubwa na mwanamke utampata mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…