Kaa salama kwenye wavuti

MziziMkavu leo umenirudisha tution ya kiswahili.imenibidi nikae sambamba na dictionary ya taasisi ya uchunguzi wa kiswahili chuo kikuu cha dar es salaam ili nielewe hiyo misamiati hapo juu.inaonekana ktk hizi zama za digital hata kiswahili kinaenda ki-digital...hata hivyo ukitumia google translate tool kutafsri taarifa toka kizungu kwenda kiswahili,hayo ndio matokeo utakayo yapata.ndio mana mimi hupenda kutumia google in english.kiswahili ni full mkorogano.:behindsofa:
 
Mkuu kadoda11 Ni kweli Kiswahili cha computer ni kigumu sana tofauti na kiswahili cha kawaida itabidi uende shule kusoma zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…